shangazi hawezi gfsonwin kutimiza mahitaji ya wanagu pasee, labda tu part of it! na ukweli kabisa mume wangu akiwa hana amani raha ya ndoa nitaipataje?? maana amani yake ndio inafanya mtwangio uwe imara na uweze kutwanga barabara! lakini kama amani imepotea atatwangaje sasa?? cha kwanza huwa ninahakikisha kipo ili atwange barabara kwenye kinu changu ni AMANI KWANZA! LOL!cacico ma dear umenipa majibu yenye maswali tena hivi kwani wanao wakitimiziwa mahitaji na shangazi au wajomba je itatimiza raha yako? inamaana siku ambayo mumeo hana amani basi kwako raha ya ndoa hakuna?
Huyo unayemuomba kishaibiwa na BADILI TABIA
Ila ukimvibreti sana huwa anaweweseka, atashindwa hata kula.
Kaizer kwa kweli mwachie AshaDii, karibu kwa Babu ODM kiboko wa wajukuu watukutu.
Afu na mie nitakufundisha teknik moja inaitwa 'Ching Chong' ila masharti yake unampa mara moja kwa miaka 2 au mitatu.
maana hii ndo huitumia kununuliwa vits au nyumba, ukiitumia mara kwa mara anafilisika unakuwa kama unakula mtaji wa baishara yako.
Ila sasa wanalia hao ukiwawekea hii??? Usisahau ear plug
dah! aisee hii nifundishe nataka nihame kutoka kwenye kuendesha ka vits alikohonga Kaizer niendeshe xtrail sasa lolz!
kumbe Asprin hakuna kitu lol! nisije nikaua bure? sasa babu Darkcity atanimudukweli manake nataka launch naye hii "ching chong". najua ataachia ka xtrail. mwambie BADILI TABIA amfundishe Asprin ile staili ya mfyonzo. iyo nayo ni kiboko ya matatizo.
Hivi my love, bado watu hawaamini eh?
Hivi kile ulichonifundisha jana ulisema kinaitwa "Chura kajamba" au "Chuchumaa ukamue?" Nshasahau mwenzio... Ila ile ya "Rais mapumzikoni" ulinikosha sana BADILI TABIA. Sitokuacha asilani.hahhahahah nitamfundisha tu.....
ila ujue Asprin ni mtaalam? ooooh
Hivi my love, bado watu hawaamini eh?
Hivi kile ulichonifundisha jana ulisema kinaitwa "Chura kajamba" au "Chuchumaa ukamue?" Nshasahau mwenzio... Ila ile ya "Rais mapumzikoni" ulinikosha sana BADILI TABIA. Sitokuacha asilani.
Ndo maana penzi langu kwako nimeamua kuliweka kifuani mwako BADILI TABIA....ile chura kachuhumaa, leo nitakupa tena "raisi mapumzikoni" ili uzidi kuinjoy tena, kesho nitakubadilishia mpenzi wangu.......
Sijaona raha yoyote ya ndoa zaidi ya kufurahia watoto wangu. Mengine yote kwangu hakuna cha raha wala nini! Kawaida tu.
dah! aisee hii nifundishe nataka nihame kutoka kwenye kuendesha ka vits alikohonga Kaizer niendeshe xtrail sasa lolz!
kumbe Asprin hakuna kitu lol! nisije nikaua bure? sasa babu Darkcity atanimudukweli manake nataka launch naye hii "ching chong". najua ataachia ka xtrail. mwambie BADILI TABIA amfundishe Asprin ile staili ya mfyonzo. iyo nayo ni kiboko ya matatizo.
Kongosho haya ni maisha rafiki so sometimes lazima uwe mtu wa kuchat tu humu jf kuongeza uwezo wa kupambanua mambo na kuosha akili. ukijidai mnoko wa maisha utajicomitia suisaidi mapemaa kama wengine bwana kwa raha zako jiachie.Ha ha ha ha ha ha, BAbu Dark City ana uwezo wa kununua hata V8
Tatizo lake huwa anaumwa mgongo lazima wende naye kwa step sana.
Hapo red 'no comment'
Hii unaweza itumia wakati unataka kufupisha safari lol, dk moja tu huyo kwisha habari yake.
Wee kweli umepinda
Ungekuwa hulei?:rain:
Ulifurahi eh?
Halafu nimekusoma sana post zako zote kwenye hii thread,trend ya post zako inaonyesha umedata mahali na una plan kum cheat mzee,be careful mapenzi ni kikohozi.........
BADILI TABIA funguka mpendwa hilo tu?????
Wala usiwe na shaka BADILI TABIA nimempendea mengi, ngono ni kimalizio tu lol hata style ya death of cockroach sie twende kazi..... ili mradi miguuye ikae mabegani mwangu...khaa!!
Sijaona raha yoyote ya ndoa zaidi ya kufurahia watoto wangu. Mengine yote kwangu hakuna cha raha wala nini! Kawaida tu.
Nafkiri na naamini raha ya ndoa ni matokeo ya jinsi wenye hiyo ndoa wanavyoishi, maana furaha ni matokeo\matunda yanayopatikana baada ya hatua\kitendo fulani. Vitu mtakavyofanya katika ndoa kama vitakufanya ujione UMEPIGA HATUA FULANI kwa sababu UPO NA MWENZAKO, na hatua hiyo HAINGEWEZEKANA kama ungekua pekeyako, hiyo ni raha ya wewe kua kwenye ndoa. Watoto ni MATUNDA mojawapo ya NDOA, japo ndoa ipo BILA WATOTO kuwepo; kwa maana NDOA NI MAKUBALIANO YA KUISHI PAMOJA MKE NA MUME wenye umri unaotambulika kisheria kwa hatua hii.
Sasa furaha au kukosekana kwayo apa ni JUKUMU la wenye AGANO hilo
Sasa Boss hivi si unaweza kuvipata hata kama hujaoa/olewa?raha ya ndoa ni pale uko na mtu na u feel 'home'...
na asipokuwepo u feel 'something is missing'...