Raha ya mihogo kachumbari

Wazee wa Galanos pale nguvumali ukishuka tu kwa daladala nadhani mnapakumbuka ile mihogo ilikuwa mitamu ajabu enzi hizo 2001 nakumbuka vijana walikula adhabu moja kali kwa kutoroka na kwenda kununua mihogo huku mesini wameacha makande duu basi Sir Msocha akawadaka, hao suspension, muhugooooo huo
 
Hivi nyie ...nani Kati yetu ambaye hani Ogopi?
 

2001 tunaita enzi hizo lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…