Kuna jamaa mkubwa tu anakaa kwa shemeji yake..Basi sometimes dada yake anapigwa na kutukanwa mbele yake,Ye anaangalia tu..Dada akitukanwa "hamna shukrani wewe na familiya yako" mtoto wa kiume inabidi umwambie shemiji "shikamoo"
😀😀😀😀😀Kuna jamaa mkubwa tu anakaa kwa shemeji yake..Basi sometimes dada yake anapigwa na kutukanwa mbele yake,Ye anaangalia tu..
Wa kike nae analiwa pamoja na dada mtu.Mtoto wa kiume kukaa kwa shemeji yako naona kama wote mmeolewa tu
Sasa asiangalie ulitaka afanyeje?Kuna jamaa mkubwa tu anakaa kwa shemeji yake..Basi sometimes dada yake anapigwa na kutukanwa mbele yake,Ye anaangalia tu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku Dada akiachika wanaachwa wote
Imagination ya dadaake kitandani
Mwandu. Wewe ni wakusini nini?Sista analiwa mambo ghetto ye na miwani yake kama fundi magrili anameditate na kuvutia hisia miguno ile kama uh, ooh kwenye sofa la mwanaume . Mwandu manuu kautanua. Wanaume wa mikoani bhana, wakinyimwa maji ya chupa misibani, mbio kulalamika jukwaani kumbe mambwisi tu.
Katika yooote hakuna kijana wa pwani ambae ni mtegemezi wa shemeji, haya ni yenu wa bara, tena wa arusha na moshi mnakeraaa! Mnaolewa na mashemeji zenu hamjistukiiHao ndiyo vijana wa Pwani hasa Saridalama unakuta vijana tepetepe na kutusababishia hata majanga kwa vyura kukosa maji mengi ya kuogelea na kutosheka.
Inabidi vijana wa mikoani hasa chugga tujetuzime moto kama kawa...amkeni vijana legelege wa vilani chipsi yai...mnatupa mzigo mkubwa sana wenzenu wa kupigia hadi lini???
Sisi chugga mazo na papuchi ni mchimbo tu hadi chura atembee na barafu au ac.Katika yooote hakuna kijana wa pwani ambae ni mtegemezi wa shemeji, haya ni yenu wa bara, tena wa arusha na moshi mnakeraaa! Mnaolewa na mashemeji zenu hamjistukii