Raha ya kukaa kwa shemeji unajitanua utakavyo!

Raha ya kukaa kwa shemeji unajitanua utakavyo!

Katika yooote hakuna kijana wa pwani ambae ni mtegemezi wa shemeji, haya ni yenu wa bara, tena wa arusha na moshi mnakeraaa! Mnaolewa na mashemeji zenu hamjistukii

Waambie hao warugaruga
 
Shemeji na dada yake wakienda kazini.
Na yeye ndio anajifanya boss kwa dada wakazi.huwa hawachelewi kuwagonga wasichana wakazi hao.
Hata kama ni mimi siachi kumgonga.
Yaani ukae na vinono ndani usubirie mapimbi wa nje waje wale? Hapana aisee....
 
Shemeji anatoka amedisa, alaf kavaa kanga ya dadako inabidi umpishe aende kisha arudi ndo ulale, Mara Mara unamsikia dadaako anaamrishwa akwangue vocha, dah Nouma sana, shemeeeejiiiiii, kule mombasa ukiona hii kitu ujue wote ni wakeze
 
Katika mambo niliyokuwa nayachukia ni kukaa kwa mashemeji.
 
Sista analiwa mambo ghetto ye na miwani yake kama fundi magrili anameditate na kuvutia hisia miguno ile kama uh, ooh kwenye sofa la mwanaume . Mwandu manuu kautanua. Wanaume wa mikoani bhana, wakinyimwa maji ya chupa misibani, mbio kulalamika jukwaani kumbe mambwisi tu.
Nimecheka sana kidogo nitapike eti miwani kama fundi magrili haaaaaa.
 
Huyu mwanaume mtoto si riziki nini ndio nini kujitanua hivo teh!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom