PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,269
Kwanza hapo wenyenyumba wametoka, ameachiwa vyombo vya kuosha yeye analeta ubishoo.Alipokaa ndio analala hapo hapo.
Asubuhi saa kumi na moja anaamshwa na dada wa kazi we nyanyua miguu nideki!
hadi gari la shemeji inabidi alioshe.Asubuhi inabidi awahi kupolish viatu vya shemeji na kupaka butter kwenye mkate, hakuna cha bure.
Shemeji yuko kazini, akirudi hata sebule anaiona chungu.alivyojitanua mwishowe atapumua kwa kutumia makalio!
Mtoto wa kiume kukaa kwa shemeji yako naona kama wote mmeolewa tuShemeji yuko kazini, akirudi hata sebule anaiona chungu.
Dada akitukanwa "hamna shukrani wewe na familiya yako" mtoto wa kiume inabidi umwambie shemiji "shikamoo"Mtoto wa kiume kukaa kwa shemeji yako naona kama wote mmeolewa tu
vijana sikuhizi hawana hofu kwamaana mafuta yamepigwa marufuku.