Raha ya kuichagua CCM

hehehe maisha bora kwa kila mtanzania ndio hayo!!
Tunaangamia kwa ujinga wetu wenyewe lol
 
Ee Mungu natamka na naapa mbele zako baba ukiwa kama shahidi kwamba kuanzia sasa (leo) si mwanachama wa ccm tena, na kamwe sitorudi ccm wala kuipigia kura ccm,

Na endapo nitaipigia basi Mungu hapo ktk chumba cha kupigia kura au popote uchukue uhai wangu ili niwe mtu wa motoni daima.

Nitaichagua chadema, nitaipenda chadema na kuitumukia chadema miele daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…