Kwa hii mikakati ya Bananga sidhani kama Wapinzani watashinda hata Mtaa mmoja hapa DSM Mwezi October!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,034
142,098
Ukiangalia mikakati ya Bananga kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utagundua CCM huwa wanashinda kihalali kabisa

Kwa sasa Wajumbe wa CCM Wanafanya uelimishaji wa Nyumba kwa Nyumba wakielezea faida za kuendelea kuichagua CCM na hasara za kuwachagua Wahuni wa upinzani

DSM ni Kijani kwa kweli

Mlale Unono 😀😀🔥🌟
 
Ccm hawataki hata mkakati wa mtu. Msimamizi wa uchaguzi anatosha
 
Faida za kuchagua ccm DSM:-
1. Mafuriko ya mara kwa mara.
2. Jiji kunuka kila kona.
3. Kipindupindu kisichokwisha mpk wanaamuru kisiripotiwe.
Faida ya kuchagua Chadema
1.kutokupata mrejesho wa pesa za wanachama mf.Join the chain
2.kuongozwa kidikteta
3.nchi kuingia vitani
 
Ukiangalia mikakati ya Bananga kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utagundua CCM huwa wanashinda kihalali kabisa

Kwa sasa Wajumbe wa CCM Wanafanya uelimishaji wa Nyumba kwa Nyumba wakielezea faida za kuendelea kuichagua CCM na hasara za kuwachagua Wahuni wa upinzani

DSM ni Kijani kwa kweli

Mlale Unono 😀😀🔥🌟
Shetani huwa na vishawishi vingi sana ili watu waendelee kumuamini awaumize
 
Ukiangalia mikakati ya Bananga kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utagundua CCM huwa wanashinda kihalali kabisa

Kwa sasa Wajumbe wa CCM Wanafanya uelimishaji wa Nyumba kwa Nyumba wakielezea faida za kuendelea kuichagua CCM na hasara za kuwachagua Wahuni wa upinzani

DSM ni Kijani kwa kweli

Mlale Unono 😀😀🔥🌟
Kuelimisha wananchi?Kwamba waioende CCM?Watu wanajielewa.Labda kama kuna mbinu za kutumia wizi na mabavu.Atamdanganya nani leo hii huyo kiumbe?
 
KOSA LA MAMA KUWAKARIBISHA KUFUTURU FUTARI NYINGI KILA JIONI MKISHATOKA HAPO MNAONA NCHI NI YENU NYIE CHAWA WA KIJANI
 
Ukiangalia mikakati ya Bananga kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utagundua CCM huwa wanashinda kihalali kabisa

Kwa sasa Wajumbe wa CCM Wanafanya uelimishaji wa Nyumba kwa Nyumba wakielezea faida za kuendelea kuichagua CCM na hasara za kuwachagua Wahuni wa upinzani

DSM ni Kijani kwa kweli

Mlale Unono 😀😀🔥🌟
Nyumba za vilaza ndizo wanazopitia kwenye watu wenye akili hawathubutu kukatisha
 
Ukiangalia mikakati ya Bananga kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utagundua CCM huwa wanashinda kihalali kabisa

Kwa sasa Wajumbe wa CCM Wanafanya uelimishaji wa Nyumba kwa Nyumba wakielezea faida za kuendelea kuichagua CCM na hasara za kuwachagua Wahuni wa upinzani

DSM ni Kijani kwa kweli

Mlale Unono
Vipi ameshusha bei ya gharama za maisha huko? kama ni hivyo ni vyema sana
 
Mbona Chama Cha kizamani sana.cha Nini karne hii ya kutumia akili kubwa.
 
Ukiangalia mikakati ya Bananga kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utagundua CCM huwa wanashinda kihalali kabisa

Kwa sasa Wajumbe wa CCM Wanafanya uelimishaji wa Nyumba kwa Nyumba wakielezea faida za kuendelea kuichagua CCM na hasara za kuwachagua Wahuni wa upinzani

DSM ni Kijani kwa kweli

Mlale Unono
Kwa nchi ya wapumbavu nakubaliana na wewe kabisa, nchi imejaa wapumbavu
 
Ukiangalia mikakati ya Bananga kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utagundua CCM huwa wanashinda kihalali kabisa

Kwa sasa Wajumbe wa CCM Wanafanya uelimishaji wa Nyumba kwa Nyumba wakielezea faida za kuendelea kuichagua CCM na hasara za kuwachagua Wahuni wa upinzani

DSM ni Kijani kwa kweli

Mlale Unono 😀😀🔥🌟
sio rahisi watu wa dar kuchagua mihemko, kelele na maandamano 🐒

kwanza hawapendi na wala hawawezi kubebwa unyumbu, kuzira wala kususa 🐒
 
Back
Top Bottom