Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 355
- 414
Bila shaka.View attachment 1615083
VPN zina kawaida ya kula data kuliko kawaida. Nadhani utakuwa umaliona hilo.VPN bana nimetoka Hokkaido-Japan kwa sasa nipo Yeongam Gurim Village, South Korea !!!
Lakini kuna vpn ukitumia data haiendi kabisaVPN zina kawaida ya kula data kuliko kawaida. Nadhani utakuwa umaliona hilo.
nipo toronto canadaVPN bana nimetoka Hokkaido-Japan kwa sasa nipo Yeongam Gurim Village, South Korea !!!
Nakubaliana na wewe....VPN zina kawaida ya kula data kuliko kawaida. Nadhani utakuwa umaliona hilo.
Now ni kokoo ila wacha tuendelee kuhesabu miaka mingine....Ww nakutongoza wap up unabana alafu miaka imepita WW SI Bibi now au?
Sema walinifungia JF tu 😆 ndiyo nimetoka kifungoni sahiiHongera...
Download kupitia chrome appHahaha dah mie zinakataa install apk.
mkuu sio kwamba ios hakuna vpn zipo ila yeye alisema apk. yan ni sawa wewe unataka audio iwe kwenye format ya mp4.Mbona zipo kabao tu mkuuView attachment 1614959
Hiyo hapo najiachia nayo
View attachment 1614960
Hapo chini nachagua tu