Rage: Nini okwi, sasa namleta suarez toka liverpool

ISMAIL ADEN RAGE haaminiki na wala hajawahi kuaminika ,aliwahi kufungwa jela kwa wizi wa mipira pale FAT , nimewadharau sana waliomchagua kwenye ubunge na kwenye uongozi wa club yetu .
Naipenda sana simba kwa kuweka record ya duniani kwenye soka, KIONGOZI PEKEE WA SOKA KUFUNGWA JELA 3YRS na akawezi kupiga siasa nakuchaguliwa mwenyekiti wa SIMBA, Haitoshi kapiga deal la OKWI halafu simba anawapa mali kauli. Hata hivyo asilimia 90 ya wanachama wa vilabu vya simba na yanga SHULE HAKUNA na UELEWA NI SIFURI. Hivyo acha wajanja waneemeke tu. TENA SIKU AKIIBUKIA KWENYE MKUTANO UTAONA ATAKAVYOWAPA SOUND NA MKWALA MZITOO THEN WANA SIMBA WATAMBEBA JUUJUU WAKIIMBA. JEEMBE,JEEMBE, JEEMBE. Na ukitaka kuwa win mashabiki wa simba na yanga we WAAPIE TU KUWA HAKIYA NANI NITAFANYA HIVI.
 
yanga hua wanaiga ksajili toka simba sijui huwa hawana uwezo wa kuspot talents wenyewe

Unataka waspot talents kwani umeambiwa yanga imekua arsenal? Sie km man city au chelsea, unapata ki2 ready made ndo kitamu. Nyie mmefilisika kimawazo hamna point.
 
Yanga huwa tunachukuwa wachezaji ambao ninyi mnasema wanini wakati wenzenu tunajiuliza tutawapata lini lakini chakushangaza wakifika Yanga mnaanzakuwatolea macho tena. Yondani mlikuwa mnamkebehi mkampeleka kwa mkopo sijui kitimu gani yanga,tukabeba mkaanza maneno,Athuman Idd Chuji(Steven Gerrard wa bongo) unakumbuka sakata lake?..Kaseja naye fitna hivyohivyo sasa hivi ndy mnaona thamani yao,nimemsahau Nurdin Bakary!... Muwe mnakuwa wapore tukifanya yetu nanyi fanyeni yenu!....
kelvin yondani, kaseja, okwi, barthez, aking'aa simba ndo yanga wanasajili tulivyotumia na kuvichoka
 
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Yanga huwa tunachukuwa wachezaji ambao ninyi mnasema wanini wakati wenzenu tunajiuliza tutawapata lini lakini chakushangaza wakifika Yanga mnaanzakuwatolea macho tena. Yondani mlikuwa mnamkebehi mkampeleka kwa mkopo sijui kitimu gani yanga,tukabeba mkaanza maneno,Athuman Idd Chuji(Steven Gerrard wa bongo) unakumbuka sakata lake?..Kaseja naye fitna hivyohivyo sasa hivi ndy mnaona thamani yao,nimemsahau Nurdin Bakary!... Muwe mnakuwa wapore tukifanya yetu nanyi fanyeni yenu!....
 
mwanasiasa anaweza kukuahidi kujenga daraja mahala ambapo hakuna hata mto
 
Chekeni tu na wajinga rage ndo anaua mpira hivyoo!!! Kwa kuleta siasa uchwara Simba
 
Back
Top Bottom