Rage: Nini okwi, sasa namleta suarez toka liverpool

Rage: Nini okwi, sasa namleta suarez toka liverpool

Mnahangaika saana, ni rahisi tu
Yanga = CCM
Rage = CCM
Manji = CCM
Final results
Rage = Manji
Rage = Yanga

No,no no Rage siyo CCM, bali Rage ni mharifu ambae uharifu wake anaitumia CCM kijificha, uharifu wake huo usingekubalika kokote inje ya CCM, Rage inaitumia CCM kama kichaka cha kuficha maovu yake ambayo ni mengi mengi, laiti kama CCM wangejitambuwa kama wanatumiwa tu
 
He ! kwani na yeye amewahi kudhulumu RASILIMALI ARDHI ?
 
Mnahangaika saana, ni rahisi tu
Yanga = CCM
Rage = CCM
Manji = CCM
Final results
Rage = Manji
Rage = Yanga
sikiliza hii viongozi wanaoshabikia simba ni samweli sitta,amosi makala,jobu ndugai,rais mkapa na wengine wengi toka ccm kwa hali hii kwa nini na simba isiwe ccm acha kutumia akili ya ziada wewe.
 
Simba wako kwenye hatua za mwisho kabisa kumsajili kwa mkopo cheikh tiote toka newcastle
 
Mnahangaika saana, ni rahisi tu
Yanga = CCM
Rage = CCM
Manji = CCM
Final results
Rage = Manji
Rage = Yanga

ImageUploadedByJamiiForums1387285971.915943.jpg
 
No,no no Rage siyo CCM, bali Rage ni mharifu ambae uharifu wake anaitumia CCM kijificha, uharifu wake huo usingekubalika kokote inje ya CCM, Rage inaitumia CCM kama kichaka cha kuficha maovu yake ambayo ni mengi mengi, laiti kama CCM wangejitambuwa kama wanatumiwa tu

Sasa umekataa nini na unakubali nini? Kama ccm imekubali kuwa kichaka na kumfadhili huyu nduli kuna ubaya gani nikisema wote ni sawa tu
 
Ni kweli mkuu, Rage ni mhuni wa kutupwa. Sijui kwa nini Simba hata tulimuamini. Hafai hata kuwa mwanachama. Lkn anatuendesha kama walevi. Ila hili la Okwi kazi anayo.

hivi rage ni mtanzania?sio msomali?
 
akija Mwanza tu amekwisha, mawe ndio suluhisho ya yote haya!
 
yanga hua wanaiga ksajili toka simba sijui huwa hawana uwezo wa kuspot talents wenyewe

Mmoja wapo ndio huyu. Badala ya kujibu hoja unakwenda tena Yanga. Rage kawafanyaje nyie? Hivi si Msomali yule!!! Ahaa!!
 
Mimi nikisikia jina la Aden Rage, haraka huwa najawa na taswira ya Katibu wa FAT enzi za Alhaj Ndolanga
 
kama shabiki wa Yanga bado sikubaliani na hatua ya kumsajili Okwi, sifurahii pia matatzo ya Simba. Rage anaua mpira wa simba. Huyu jamaa akili yake haina akili hata kidogo.
 
Rage anaihujumu simba,ila itamgharimu kuliko watu wanavyodhani.
 
Wanachama na wapenzi wa Simba SC wamekuwa kama watoto wadogo wa kuahidiwa mambo makubwa na mwenyekiti wao Aden Rage, Mbunge Tabora Mjini - CCM. Hali hii imesababisha ugumu hata wa kumng'oa madarakani kila anapovurunda. Ameifanya Timu ya Simba kupoteza dira na kuwa timu kituko na kupoteza heshima yake barani Africa.

Baada ya Emanuel Okwi kusajiliwa na Yanga, mashabiki wa Simba wamepandwa na hasira ikiwa ni pamoja na kutaka kwenda nyumbani kwa Rage, lakini wanachama hawa watarajie majibu mepesi kabisa toka kwa Mwenyekiti wao ikiwa ni pamoja na kuwatuliza kuwa atamsajili LUIS SUAREZ anaewika Liverpool, nini Okwi. Kwa ahadi hii atawaweza mashabiki wa Simba, watambeba juu, watasukuma gari lake na watarejea makwao wakishangilia kuwa SUAREZ anasajiliwa Simba, wimbi la Okwi litasahaulika.

Aina ya Viongozi kama Rage ndio waliotawala Tanzania katika medani ya Siasa. Rage huyu ndiye aliyewarubuni wapigakura wa Tabora mpaka wakampa Ubunge. Je, CCM imekuwa chama cha kuzalisha walaghai badala ya kukomboa wanyonge? Maana viongozi wengi wa CCM wamekuwa wakiongea bila kujua wanayoyasema. Walianza kuwalaghai "Maisha bora kwa kila mtanzania" na wakapewa kura. Wengine wakasema marufuku Serikali kununua Mashangingi lakini ndo kwanza yanazidi kununuliwa.

Cha kushangaza zaidi, bado watanzania wengi wamekuwa wakiwashangilia viongozi aina ya kina RAGE na wenzake ndani ya CCM.

Anayofanya rage simba anapaka matope mpaka chama chake cha siasa anachokutumikia, ccm mng'oeni huyo anawadhalilisha. Ni kama vile mhalifu anapewa escot ya defender LA police, wapi na wapi
 
kama shabiki wa Yanga bado sikubaliani na hatua ya kumsajili Okwi, sifurahii pia matatzo ya Simba. Rage anaua mpira wa simba. Huyu jamaa akili yake haina akili hata kidogo.

toka hapa sema tu wewe ni simba ila unaikubali Yanga hakuna atakaye kuuliza usikute wewe ndo Rage
 
Back
Top Bottom