Rafu ya Haruna Moshi hiyo

you are very narrow minded and so myopic mkuu, hivi unadhani kupenda kwangu mpira kumebanwa na usimba na uyanga? Kwanza nikufahamishe kuwa me wala siyo shabiki wa timu yoyote ya mpiratanzania, soka gani kama soko? Tunalaumu rafu wewe unakazana na utimu?

lie liar
 
Hapa alikuwa ameshtukia mpiga picha alitaka kumpiga picha akilipuliza ndo akaamua kukificha kipisi chake kwenye pindo la jeans, TFF embu anzisheni ule utaratibu mlioutangaza ili watu kama hawa wawe eliminated kabisa,yaani nimemchukia sana tena sana!

kwani wewe ni wa kike kwanini unang'ang'ania kumpenda mwana umme mwenzako acha usho..
 
rafu kidogo tu yanga mnachachawa..mmesahau walicheza wachezaji wenu au mmesahau kuwa kijiko mwaka jana alimvunja mguu mwinyikazimoto acheni unazi wa kijinga au mmesahau mlivyo mvunja kidole cha mguuni Machaku mwaka jana..
 
Unataka kunambia mkuu alikuwa analipiza kisasi cha ya mwaka jana? Hapo ndo Genecius Kaiza anaposema mpira wa kibongo kama soko.
 
acha kuchanganya mambo; toa comment kama mtu alieenda shule.

Sheria 17 za football hazina uhusiano na elimu, ni uwezo wa mwamuzi kuzielewa na kuzitafsiri. Lengo la Boban unaona kabisa si kuucheza mpira, mguu upo juu na meno yanaonekana kabisa...marefa ni binadamu tukiri tu kuwa hakutafsiri vizuri sheria husika
 
Na akaishiaa kupewa kadi ya njano!!!!sijui refa walimpa kiasi gani!!!huo sio uungwana kabisa sina hakika kama walimpima huyo mwana mabangi...
Wewe ulitaka ampe kadi ya rangi gani? Mbona rafu za chuji na mbuyu twite na Nizar kumshika dogo kwenye "penalt box" huziongelei au ndiyo mahaba yamezidi.
 
Yaani hata hapa pichani anaonekana ni mzee wa dope....nadhani ni maagizo ya msomali aliyesema mkataba wa Yondani Yanga ni toilet paper....
Hatuwashangai mpira umewashinda umebakia kutukana watu, nyinyi ndio wale wanaotukana watu mchana jioni hamna hata sehemu ya kuweka mbavu, kula kulala kwa shikamoo.
 
Hatuwashangai mpira umewashinda umebakia kutukana watu, nyinyi ndio wale wanaotukana watu mchana jioni hamna hata sehemu ya kuweka mbavu, kula kulala kwa shikamoo.

Sijui hata kama unajuwa ulichokiandika. Pole saana.
 
Unataka kunambia mkuu alikuwa analipiza kisasi cha ya mwaka jana? Hapo ndo Genecius Kaiza anaposema mpira wa kibongo kama soko.
Mkuu Crashwise ikiwa walisahau wakati mchezaji wao alipopewa kadi tatu nyekundu wakasema kapewa mbili tena ndani ya mwezi mmoja, watakumbuka ya mwaka jana!
Kama ni mwanafunzi Yanga ni wale wanapewa mtihani wakwaenda nao nyumbani asubuhi kwenye chumba cha mtihani wakapata sifuri.

that was a straight Red Card foul lakini refa sijui alikuwa anawaza nini hata hakuona rafu mbaya kama hiyo...lakini cha ajabu anaenda kutoa Red Card mchezaji wa Yanga aliyejirusha kukuza ukubwa wa rafu!
Ngojea mechi ya marudiano utapewa wewe filimbi na kadi nyekundu tupu.
 
Labda alitaka kufanya ngazi kuelekea upande wa pili. Rafu mbaya nyingine ni ile ya Stephen Mwasika dhidi Ngasa na ile ya Chuji dhidi ya Christopher. Mzee tuwekee na hizo picha, maana nimemsika Shafii Dauda
Kwani wanakumbuka, kusoma hawajui hata picha hawakuona.
Ikiwa hata offside trick hawajui wanataka kufunga tu, ndiyo maana wachezaji wao wakienda Nchi za watu wanaojua mpira hawafanyi lolote, wakirudi hapa wanasingizia ooh Misri kuna baridi ndiyo maana tunafungwa. Kama uongo wanitajie "professional players" wao hata mmoja tu anayetamba Duniani kama wa Simba wanaotamba Mambele kwa sasa.
 
rafu kidogo tu yanga mnachachawa..mmesahau walicheza wachezaji wenu au mmesahau kuwa kijiko mwaka jana alimvunja mguu mwinyikazimoto acheni unazi wa kijinga au mmesahau mlivyo mvunja kidole cha mguuni Machaku mwaka jana..

Acha ushoga wewe na maneno yako machafu,ulinganifu gani huo unafanya eti alimvunja mguu Kazimoto,hivi unajua unachokiongea au unatapika tu? Kazimoto m'bovu pale alipo hata upepo wa kasi kidogo ukimpitia kwenye enka yake utasikia nje siku kadhaa,case ya rafu ya Kijiko kwa Kazimoto ni tofauti sana na rafu ya Boban kwa Yondani,embu nikuulize leo hii Berko wetu akiruka na mtu akamtonesha bega lake tutaanza kulaumu kavunjwa? kwako wewe kutoneshwa tatizo na kuanzishiwa tatizo ni sawa? kumbe wanaume mkianza kale kamchezo hata kufikiria kwenu kunakuwa kama wenye kale kamchezo original,angalia Mtani unapotea
 
Kwani wanakumbuka, kusoma hawajui hata picha hawakuona.
Ikiwa hata offside trick hawajui wanataka kufunga tu, ndiyo maana wachezaji wao wakienda Nchi za watu wanaojua mpira hawafanyi lolote, wakirudi hapa wanasingizia ooh Misri kuna baridi ndiyo maana tunafungwa. Kama uongo wanitajie "professional players" wao hata mmoja tu anayetamba Duniani kama wa Simba wanaotamba Mambele kwa sasa.

Mambele gani unapozungumzia Mtani,hapo Lubumbashi? au kule Henry Joseph anapofanyia kibarua chake cha kutunza vifaa vya mazoezi(Kit Officer) kweye ile team ya daraja la 2 baada ya mpira wake kumalizika kabisaa,hlf Mtani unajifanya kujisahaulisha eti "wanitajie proffesional..............." Mtani inamaana unajifanya umemsahau kabisa Nonda Shaaban "Papii"? na juzi tu Ernest Boakye kaombewa ITC TFF na team 1 ya maana sana huko mbele....angalia Kijana unavyoanzisha mada uwe umejipanga
 
Nina uhakika kama wangepimwa mkojo ajilio ya dope test,kuna nusu ya wachezaji wasingeingia ndani ya uwanja..ni makosa makubwa sana kuwzoeza vibaya kwenye ligi yetu ya madafu wanapiga bangi,wakienda mechi za kimataifa wanashindwa maana wata test positive!wanaishia kuwa hawako uwanjani hadi mpira unaisha!kumbuka ivory coast ilikuwa aibu wanabaki wanatoa macho kama wamelala vile,wakistuka wanapoteza mpira,yaani hawapo mchezoni kabisa!
 
jamani tumwache huyo boban amefanya kitu cha aibu mbaya zaidi anasikika kwa kuwa na kasifa fulani labda ndo kalimfanya amumize mwenzio,kumbukeni kuna siku alimpiga okwi ngumi ya wazi uwanjani,mm nashauri soka apumzike ataua mtu siku moja ndo mjue mibangi noma,tutabaki kusema aliua bila kukusudia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom