Rafu ya Haruna Moshi hiyo

Simba kweli wanaonewa, yaani walilazimishwa na TFF kucheza mpira wa njano?
Ingelikuwa ni wale wapiga domo mpira sifuri wangepewa mpira mwekundu wangeukataa.

Simba ni dume lisilochagua popote kambi, ukicheza mpira nasi tunacheza mpira, ukileta rafu yatakukuta yaliyomkuta mwenzenu aliye MOI sasa hizi. Chezea Mnyama weweeee.
 
HARUNA MOSHI "BOBAN" AOMBA MSAMAHA KWAKUMVUNJA YONDANI

DSCN9822.JPG

y

Yaani hata hapa pichani anaonekana ni mzee wa dope....nadhani ni maagizo ya msomali aliyesema mkataba wa Yondani Yanga ni toilet paper....
 
Kuwa makini kuteuliwa kamati ya ufundi si lazima ujue mpira sifa 1 uwe mshirikina, kama husoma kizungu wewe unafaa zaidi, hata mama Teri anaweza itwa Ssc kuwa ktk kamati ya ufundi chezea hao
 
Hapa alikuwa ameshtukia mpiga picha alitaka kumpiga picha akilipuliza ndo akaamua kukificha kipisi chake kwenye pindo la jeans, TFF embu anzisheni ule utaratibu mlioutangaza ili watu kama hawa wawe eliminated kabisa,yaani nimemchukia sana tena sana!
 
Ukweli ni kuwa hii ilikuwa rafu mbaya na ilistahili kadi nyekundu ya moja kwa moja. Lakini wengi wa wachangiaji wanatumia zaidi emotion za kishabiki ktk kuelezea tukio. Sio tukio la ajabu sana na hasa ukiangalia muda mfupi kabla na baada ya rafu kutendeka. Aliyekuwa ana drible mpira ni Haruna Moshi na kilichotokea ni kwamba aliupeleka mbali zaidi mpira kiasi ikawa rahisi kwa Yondan kuufikia na kuudokoa. Wakati huo Haruna alikuwa ktk harakati za kuuwahi mpira na unaweza kufikiria mwenyewe nguvu aliyokuwa akitumia ktk harakati za kuuwahi mpira na kuukosa zilifikia mguuni kwa Yondani.

Tukumbuke kuwa mpira huwa una matumizi makubwa ya nguvu na pia matukio ya haraka haraka sana ambayo wakati mwingine huwatokea wachezaji bila kuwa na nafasi ya kutakari kwa kina, kwa hiyo Haruna asihukumiwe kana kwamba ameua. Kilichomtokea Yondani ndicho ambacho kingeweza mtokea Kapombe pale alichochomekewa live na Saidi Bahanuzi, tofauti ni kwamba hapakuwa an contact kubwa baada ya Kapombe kuwa na nafasi ya kutoa mguu haraka kuliko nafasi aliyokuwa nayo Yondani.

Zaidi ya hayo naona mpria wa Simba na Yanga umekuwa kuliko uwezo wa waamuzi kiasi kwamba wachezaji wanafanyiana uhuni mdogo mdogo tangu mwanzo wa mechi bila waamuzi kuchukua hatua za mapema ili kufanya mpira uchezeke, na ndio maana mambo huwa yanakuwa magumu kadir muda unavyokwenda. Waamuzi wabadilike maana hiyo juzi kulipaswa kuwa na kadi nyekundu si chini ya tatu
 
View attachment 67132

Angalia kwa makini namna Haruna Moshi alivoufuata mguu wa Yondani na alivokunja sura, angalia position ya mpira hutosita kusema jamaa alikusudia kumuumiza mwenzie!

.....inaonekana unaushabiki usiokuwa na tija .........Ina wewe maana katika rafu zote zilizofanywa na wachezaji wa Yanga hukuziona? KUmbuka Yondan hakuwa na nia nzuri kuna wakati alikwenda kwa lengo la kumuumiza kaseja wakati kona inapigwa ..... ungekuwa unania njema ungeonyesha na faulo zilizofanywa na Mwasika, Chuji, Twite Canavaro

Tatizo ni bangi ndo zinawafanya wafanye hivi. Ni akili ndogo kabisa!!!!

Pamoja na kashfa zenu bado hamnauwezo wa kurudisha magoli 6 -0 na haya ya juzi 5 - 0

..inaonekana unaushabiki usiokuwa na tija .........Ina wewe maana katika rafu zote zilizofanywa na wachezaji wa Yanga hukuziona? KUmbuka Yondan hakuwa na nia nzuri kuna wakati alikwenda kwa lengo la kumuumiza kaseja wakati kona inapigwa ..... ungekuwa unania njema ungeonyesha na faulo zilizofanywa na Mwasika, Chuji, Twite Canavaro
 
Na akaishiaa kupewa kadi ya njano!!!!sijui refa walimpa kiasi gani!!!huo sio uungwana kabisa sina hakika kama walimpima huyo mwana mabangi...

............Yanga ni sawa na wanawake wa KIKURYA wamezoea kupigwa na wanaume zao, mnachonga sana, 6 - 0 na 5 - 0 juzi bado hamkomi ............. na bado

..inaonekana unaushabiki usiokuwa na tija .........Ina wewe maana katika rafu zote zilizofanywa na wachezaji wa Yanga hukuziona? KUmbuka Yondan hakuwa na nia nzuri kuna wakati alikwenda kwa lengo la kumuumiza kaseja wakati kona inapigwa ..... ungekuwa unania njema ungeonyesha na faulo zilizofanywa na Mwasika, Chuji, Twite Canavaro
 
Maharage kamtuma hivo

............Yanga ni sawa na wanawake wa KIKURYA wamezoea kupigwa na wanaume zao, mnachonga sana, 6 - 0 na 5 - 0 juzi bado hamkomi ............. na bado

..inaonekana unaushabiki usiokuwa na tija .........Ina wewe maana katika rafu zote zilizofanywa na wachezaji wa Yanga hukuziona? KUmbuka Yondan hakuwa na nia nzuri kuna wakati alikwenda kwa lengo la kumuumiza kaseja wakati kona inapigwa ..... ungekuwa unania njema ungeonyesha na faulo zilizofanywa na Mwasika, Chuji, Twite Canavaro
 
.....inaonekana unaushabiki usiokuwa na tija .........Ina wewe maana katika rafu zote zilizofanywa na wachezaji wa Yanga hukuziona? KUmbuka Yondan hakuwa na nia nzuri kuna wakati alikwenda kwa lengo la kumuumiza kaseja wakati kona inapigwa ..... ungekuwa unania njema ungeonyesha na faulo zilizofanywa na Mwasika, Chuji, Twite Canavaro

Mkuu,hakuna ugomvi hapa lete nawe picha za matukio ya faulo unazosema kisha tutazijadili tu hapa jamvini
 
Pamoja na kashfa zenu bado hamnauwezo wa kurudisha magoli 6 -0 na haya ya juzi 5 - 0

..inaonekana unaushabiki usiokuwa na tija .........Ina wewe maana katika rafu zote zilizofanywa na wachezaji wa Yanga hukuziona? KUmbuka Yondan hakuwa na nia nzuri kuna wakati alikwenda kwa lengo la kumuumiza kaseja wakati kona inapigwa ..... ungekuwa unania njema ungeonyesha na faulo zilizofanywa na Mwasika, Chuji, Twite Canavaro
You are very narrow minded and so myopic mkuu, hivi unadhani kupenda kwangu mpira kumebanwa na Usimba na Uyanga? Kwanza nikufahamishe kuwa me wala siyo shabiki wa timu yoyote ya Mpira Tanzania, soka gani kama soko? Tunalaumu rafu wewe unakazana na Utimu?
 
that was a straight Red Card foul lakini refa sijui alikuwa anawaza nini hata hakuona rafu mbaya kama hiyo...lakini cha ajabu anaenda kutoa Red Card mchezaji wa Yanga aliyejirusha kukuza ukubwa wa rafu!
acha kuchanganya mambo; toa comment kama mtu alieenda shule.
 
Ila Yondani naye alizidi kuwachezea rafu wachezaji wa Simba siku ile, hadi kuna wakati alimsanzua hadi Kaseja akaaza kuzozana naye akaja kuamuliwa na refa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom