Rafki yangu anamdate muathirika.Nimwambie?

Rafki yangu anamdate muathirika.Nimwambie?

mwambie rafikio ukweli

Ila pia mwamhie kaka yako azingatie maadili ya kazi yake
 
Sema jomba unataka poteza wote wawili naona ushauri wa harakati mzuri ila mwambie bwana..
 
Hadi muda huu hujamwambia tu jamani! Muambie kama wadau walivyoshauri hapo juu kuwa as a friend usingependa kuona anaangamia so wakapime as soon as possible na kama wako poa waendelee na maisha yao as people do change sometimes! Ila issue ya UKIMWI jamani ni very complicated kuliko tunavyoweza kudhani. Lord have mercy on us!
 
Wasalaam..


Ungekuwa wewe ndo mimi ungefanyaje?

kwani na wewe usingekuwa informed the right approach ingekuwa ni ipi? katika kupambana na ukimwi hatuangalii taarifa uliyopewa kwani wataalamu wa fedha wanasema taarifa iliyopita haina maana kwa kufanya maamuzi yajayo. kwani hata kama ukipata taarifa kwamba rafiki ambaye umempata yuko negative, but still you don't know what the future might bring tomorrow, so what is the best strategy? you know it
 
hizi dilemma na pambana nazo daily! Imefika stage nakua kimya tu zaidi ni nikijua mshkaji awe wa jike au kiume anatoka na mwathrika namwambiaga tu "kuwa makini, hajatulia yule" baaaas! Zaidi ya hapo sisemi kitu. Kwani hata huyo mwenye ngoma alijitakia? Naye si bahati mbaya.
Na many occasions naonaga watu kama huyo mshkaji wako akiwa ivyo innocent hapatagi. Its very puzzling!
 
Mwaka umepita ni very late. Usiseme kitu zaidi ya kumwambia wakapime kama wanapendana. Ila usiseme kuwa demu ana ukimwi!
 
huyo dem usham do so unataka kumuwekea kauzibe mshkaji kama vipi kapimeni wote wa3 msomi mzima usijue ufanye nn kwa hili
 
Mwambie ukweli na mshauri wakapime. Utakuja kujilaumu usipofanya hivyo.
 
It will definitely hunt you if you don't tell him na akawa infected. It s never too late to make a right decision.
In my shoes, ningemuambia kuwa 'nina wasiwasi na huyo binti, na kwamba wakapime kwanza kabla ya kuendelea'

at least ingenipa amani ya moyo kuliko kukaa kimya kisha kifuatacho ITV iwe ni balaa zaidi. Muyombe Mungu akuongoze na kukupa ujasiri. Uamui wako utaokoa mengi yasiyoonekana kwa sasa. Kila la heri.
 
Hapo rahisi tu ,cha kufanya mwambie kwamba kulikua na rumours kwamba darasani kwenu kulikua na waathirika
na mmoja wa suspect ni huyo kwa hiyo wakapime akijiridhisha basi waendelee.

Well said mkuu.
 
Aiseee polisi haooooooo kimbieni kule kabla hamjapigwa virungu eeehhh samahani nimevamia
 
Hapo ndio utakuwa umeharibu kabisa..bora aseme tu nasikia huyu dada ana ngoma ila sina uhakika; nawashauri mkapime...

Ni tofauti na kusema 'kuwa makini huyu dada hajatulia' kwani hapo unataka kusema wenye ngoma wote hawajatulia au wasiotulia wote wana ngoma...kumbuka na rafiki yake si hajabu tayari ni muhathirika na jamaa ameshatuambia ni mtulivu...

Ukiwa na ukimwi si vema kuambukiza wengine; kama hutaki ku take responsibility basi jamii itatangaza kuwa wewe ni mgonjwa si kwa nia ya kukunyanyapaa ila kwa nia ya kuwakinga wengine...lakini ni unyanyapaa kugeneralize kuwa wenye ngoma wote hawajatulia.

hizi dilemma na pambana nazo daily! Imefika stage nakua kimya tu zaidi ni nikijua mshkaji awe wa jike au kiume anatoka na mwathrika namwambiaga tu "kuwa makini, hajatulia yule" baaaas! Zaidi ya hapo sisemi kitu. Kwani hata huyo mwenye ngoma alijitakia? Naye si bahati mbaya.
Na many occasions naonaga watu kama huyo mshkaji wako akiwa ivyo innocent hapatagi. Its very puzzling!
 
The dude is so soft. Might send hm to an early grave. Might commit suicide. One way ticket to the hereafter. What with all years of hardwork down the drain.

hivi kweli unaogopa kumwambia kisa atajiua? ni bora ajiue lakini umemwambia ukweli.
Ana umri gani huyo jamaa?
 
...huyo ni rafiki yako au unatujengea story tu,..? Rafiki wa kweli yupo hatarini hata jf nisingeweza kufika...
 
Nawapenda sana wahenga hasa pale waliposema majuto ni mjukuu na ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu. Wanawake wa dizaini hiyo wapo wengi, kuna mmoja yupo kampuni moja hivi ya simu ipo pale mji wa mlimani kitengo cha kukusanya madeni yeye ni contract si muajiliwa pale, mnene hivi mmh yaani live anawapiga shotii lkn watu wanajipeleka tuu
 
Kama ana mahusiano nae kwa mwaka mmoja na ndio kwanza kakuuliza, basi bila shaka huyo rafikiyo anajuwa na anataka kujuwa kama na wewe unajuwa.
 
Back
Top Bottom