Rafki yangu anamdate muathirika.Nimwambie?

Rafki yangu anamdate muathirika.Nimwambie?

Hapo rahisi tu ,cha kufanya mwambie kwamba kulikua na rumours kwamba darasani kwenu kulikua na waathirika
na mmoja wa suspect ni huyo kwa hiyo wakapime akijiridhisha basi waendelee.
.
mtoa mada,mkuu Harakat kamaliza ,wisest advice!
 
Wasalaam..
Nitaenda straight kwny mada.
Wakati tuko undergraduate mkoa huu,nligundua classmate wangu ni muathirika wa ukimwi yani she's HIV+.

Nilijuaje?
Kaka yangu ni Daktari yuko hospitali ya mkoa. Alinitahadharisha akisema anajua naweza kuwa natoka na mademu darasani kwangu.Akaniambia nisithubutu kutoka na xx sababu yeye anamjua ni mgonjwa wake na ameathirika. Na anajua the said xx anasoma kozi yangu mwaka wa pili kama mimi.I thus should've been warned and advised accordingly.

Huyo Binti xx
Yeye huyo binti alikuwa anaishi offcampus kawekwa kinyumba yani 'come-we-stay' na anthr dude alikua anasoma education. I took caution bt didnt tell anyone else coz sikutaka kuingilia maisha yake binafsi. However,rumours had it kuwa alikua anadate wanaume tofauti kwa wakati mmoja. Hasa wale mapapaa wa makampuni makubwa km ya simu na mabenki.Alikua ni kicheche dizaini aliamua kusambaza may be. I had sm incidents we bumped into each othr me and her those were a red flag too

Rafiki yangu sasa
Sasa juzi rafki yangu wa muda mrefu(tumwite 'yy') alikuwaga mbele yetu amerudi toka masomoni SA alipokuwa akifanya shahada ya uzamili baada ya kubakishwa kama tutorial assistant.

Huyu jamaa kanipigia simu kuwa anamdate my former classmate.So anataka kujua km yuko poa maoni yangu.You knw,due dilligence search. The dude alikuaga goodboy so ako so proud ukimskia kwamba kaopoa msomi na anakazi nzuri. In his words,'learned and independent'.
Nkamuuliza my classmate yupi,ndo akamtaja huyo xx.
My heart skipped a bit,i almost died of of cardiovascular arrest.
"xx the HIV+ slut?,"i queried inwardly.

Point is,this dude has been seing xx for sm time nw almst a year and it's only nw he wants my opinion.
I'm in dillema whether or not to divulge what i know and believe to be the truth. Lakini pia i am thinking,sio jukumu langu kumwambia am being nosy. Plus in the event i choose to spill the beans,won't it be overtaken by events alrdy hence useless? coz He's been seing her for like months nw?

Ungekuwa wewe ndo mimi ungefanyaje?

"...seing her for like months..." bado hajuthibitisha kuwa wamesha-do! Jaribu kumhoji jamaa kama keshakula ngoma na keshakula mara nyingi? Akithibitisha keshakula mara nyingi-nyamaza. Kama kala mara moja au mbili kuna uwezekano bado hajaambukizwa-mstue kuwa you strongly advise him to go check HIV/AIDs!! Yawezekana kabisa ukaokoa maisha ya mshikaji wako hapo.
 
Kama anaingia humu atakuwa ameshapata ujumbe baada ya kuunganisha tags. Education, kaka wa rafikie ni Daktari, tutorial assistant, amesoma SA,

Nashauri uweke na Chuo alichosoma atakuwa amepata ujumbe!
 
mwambie rafikio ukweli

Ila pia mwamhie kaka yako azingatie maadili ya kazi yake

Dada huyo atawapeleka mahakamni kwa kuingilia privacy yake, na huyo Daktari atashitakiwa kwa kukiuka Hippocratic Oath.
 
Nimejiuliza huo mji wa mlimani ni wapi...mwanzo nikasema Arusha (kilimanjaro mt) baadae nimegundua ni hapa hapa Dar...umeandika kwa kiswahili chake.Lol...


Nawapenda sana wahenga hasa pale waliposema majuto ni mjukuu na ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu. Wanawake wa dizaini hiyo wapo wengi, kuna mmoja yupo kampuni moja hivi ya simu ipo pale mji wa mlimani kitengo cha kukusanya madeni yeye ni contract si muajiliwa pale, mnene hivi mmh yaani live anawapiga shotii lkn watu wanajipeleka tuu
 
Hey take a stape and save a lives, muulize unakifua kizito nikuambie kitu?

"Unaweza ukalala na bundi ukaamka mwenye bahati"
 
Back
Top Bottom