Rafiki

Natumaini Sipiyu ataona hii kitu ili siku nyingine ukiwambie kitu asikuamini!!!Haya basi nishushe posta huko kwingine ntaenda mwenyewe!!!
kunimiss tu alihisi wivu nikikupa lifti si atajua tumetoka gesti ?
 
Rafiki wa kudumu? mrembo? kazi? maisha halisi? Mhhhh! :focus:
 
mie mke wa mtu ila nakubali kuwa rafiki yako maana vigezo vyako nimefaulu
 
tuwasiliane
03 (523511) nummber yangu ya simu ..

Afro mwana wa Denzi
P.O Box page 2
Sweet Home
Universal ..

nasubiri majibu ...
 
Why watu apa JF wana matani ata katika vitu ambavyo mtoa mada yupo serious ? Wadau nisaidieni
Au kuna wakazi wa milembe humu jamvini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom