Rafiki yangu wa Kike simuelewi jamani!

Rafiki yangu wa Kike simuelewi jamani!

Mimi sijui nia yake ni ipi,ila kutokana na mawazo ya wadau wengi hapa inaonekana anataka akusage. Sasa kwakuwa wewe ni mwanetu wa faida fanya namna umuwahi wewe ndo umsage ,lakini kabla ya kufanya hivyo tuwekee tupicha walau tuwili ili tuone kama tunaweza kuruka nae
 
Naombeni ushauri au neno lolote.

Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike.

Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule Mori na Dodoma.

Sasa huyu mgeni kwanza nimeshangaa kapajuaje hapa ninapoishi na licha ya hivo pia nimeshangaa sana kuja kukaa hapa maana ni nadra sana kupokea mtu ambae mlikuwa hamna mazoea kihivyo.

Anyway tuachane na hayo, nimekuja hapa jukwaani kuwaomba ushauri ili nijue nafanyaje.
Huyu rafiki yangu wa ana tabia zifuatazo:

1. Anapenda sana kunisalimia kwa kunikumbatia.
Yaani hata akiniona nimetoka dukani tu huja kunikumbatia hii tabia hakuwa nayo awali.

2. Huwa nina tabia ya kutizama televisheni mpaka usiku wa manane, akigundua kama niko macho kwenye kochi basi atakuja karibu yangu na kujikunyata kifuani kwangu ili tuangalie wote movie

3. Kuna siku nilikuwa naoga bafuni (chumba changu ni self) akaomba tuoge wote nilimkubalia kwa kujua ni rafiki tu ila aliamua kuniogesha mpaka mwisho

4. Hupenda kuninunulia zawadi za chupi na sidiria. Na juzi ile kaniletea zawadi ya kikuku cha mguuni.

5. Tukilala hupenda sana tukumbatiane na huwa namuona kama anapata hisia sana.
Sasa sielewi hisia za mwanamke na mwanamke anazitoa wapi?

6. Jana katoa kali, kasema eti maziwa yangu ni magumu nisijaribu kuyafanyia plastic surgery kwani nitayaharibu, anayapenda hivohivo.

Jamani huyu dada ananifanyia vituko vingi na vingine sisemi kwani ni aibu.

Mimi sina hisia nae kabisa japo ukikaa nae nasikia mpaka mapigo yake ya moyo yanavyodunda.
Mimi nimeumbwa kwa ajili ya mwanaume na si kwa ajili ya mwanamke mwenzangu.

Naombeni mbinu ya kumtoa hapa kwangu.
Kwao anasema ni Tengeru ila alikuja Dar kutafuta maisha.
Ananisapoti sana kimaisha kwani ni mchakarikaji sana ila shida ni hiyo tu.

Naogopa ipo siku nitamkuta juu ya kifua changu nami sitaki hali hiyo itokee.

Hapa nilipo namuangalia alivyolala kwa hisia.
Najua akiamka akinikuta natizama Tv atakuja kujikunyata pembeni yangu.

Wanaume naomba muungane na wanaume wote na wanawake wa humu kunipa ushauri.
Mwambie mtumzima secretarybird amesema acha tabia hiyo mara moja.

Mimi huwa mkali kama wembe pale ninapoona mwandani wangu analetewa mambo ya hovyo.
 
Kamba tupu
 
Siku ya kwanza huyo rafiki yangu akalala mwenyewe kitanda Cha chini lakini asubuhi alilalamika sana kwanini nilimuacha nikajiuliza kwani Kuna shida gani. Siku ya tatu mbele sikuhiyo nipo zangu kitanda Cha juu usiku wa manane nashangaa akanifuata kitanda Cha juu.
Almanusra usagwe!!!
 
Naombeni ushauri au neno lolote.

Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike.

Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule Mori na Dodoma.

Sasa huyu mgeni kwanza nimeshangaa kapajuaje hapa ninapoishi na licha ya hivo pia nimeshangaa sana kuja kukaa hapa maana ni nadra sana kupokea mtu ambae mlikuwa hamna mazoea kihivyo.

Anyway tuachane na hayo, nimekuja hapa jukwaani kuwaomba ushauri ili nijue nafanyaje.
Huyu rafiki yangu wa ana tabia zifuatazo:

1. Anapenda sana kunisalimia kwa kunikumbatia.
Yaani hata akiniona nimetoka dukani tu huja kunikumbatia hii tabia hakuwa nayo awali.

2. Huwa nina tabia ya kutizama televisheni mpaka usiku wa manane, akigundua kama niko macho kwenye kochi basi atakuja karibu yangu na kujikunyata kifuani kwangu ili tuangalie wote movie

3. Kuna siku nilikuwa naoga bafuni (chumba changu ni self) akaomba tuoge wote nilimkubalia kwa kujua ni rafiki tu ila aliamua kuniogesha mpaka mwisho

4. Hupenda kuninunulia zawadi za chupi na sidiria. Na juzi ile kaniletea zawadi ya kikuku cha mguuni.

5. Tukilala hupenda sana tukumbatiane na huwa namuona kama anapata hisia sana.
Sasa sielewi hisia za mwanamke na mwanamke anazitoa wapi?

6. Jana katoa kali, kasema eti maziwa yangu ni magumu nisijaribu kuyafanyia plastic surgery kwani nitayaharibu, anayapenda hivohivo.

Jamani huyu dada ananifanyia vituko vingi na vingine sisemi kwani ni aibu.

Mimi sina hisia nae kabisa japo ukikaa nae nasikia mpaka mapigo yake ya moyo yanavyodunda.
Mimi nimeumbwa kwa ajili ya mwanaume na si kwa ajili ya mwanamke mwenzangu.

Naombeni mbinu ya kumtoa hapa kwangu.
Kwao anasema ni Tengeru ila alikuja Dar kutafuta maisha.
Ananisapoti sana kimaisha kwani ni mchakarikaji sana ila shida ni hiyo tu.

Naogopa ipo siku nitamkuta juu ya kifua changu nami sitaki hali hiyo itokee.

Hapa nilipo namuangalia alivyolala kwa hisia.
Najua akiamka akinikuta natizama Tv atakuja kujikunyata pembeni yangu.

Wanaume naomba muungane na wanaume wote na wanawake wa humu kunipa ushauri.

UNAPAMBANA KILA MARA UTUNGE KISA CHA KUPATA ATTENTION. HUWA VINAISHA. TRUST ME. NA HUMU HULIPWI . WATU WATAKUCHOKA KWA HIZI CHAI
 
Niliupenda ujasiri wako wa kuamua kujitoa kwenye ukahaba kama ilivyosimulia mwenyewe.Tumia ujasiri huohio kumwambia wazi kuwa hauna mpango wowote kuwa msagaji,hauvutiwi na mwanamke mwenzako kimapenzi . Waweza pia kumshauri kutafuta makazi mengine kwa kisingizio chochote kile , ili mradi tu ulinde msimamo wako. Kila la heri
 
nialike mimi nije kwako akisikia jinsi navyo kukanda basi atahama siku hiyo hiyo.watu wenye tabia za kupenda watu wa jinsia yao mara nyingi wanakuwa wameingiwa na pepo wachafu jitahidi kumuepuka maana anataka akuingize kwenye chama na nawewe ukishakuwa sagaji kama yeye kujitoa itakuwa ngumu na hutoishi kwa amani maisha yako yote
 
Naombeni ushauri au neno lolote.

Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike.

Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule Mori na Dodoma.

Sasa huyu mgeni kwanza nimeshangaa kapajuaje hapa ninapoishi na licha ya hivo pia nimeshangaa sana kuja kukaa hapa maana ni nadra sana kupokea mtu ambae mlikuwa hamna mazoea kihivyo.

Anyway tuachane na hayo, nimekuja hapa jukwaani kuwaomba ushauri ili nijue nafanyaje.
Huyu rafiki yangu wa ana tabia zifuatazo:

1. Anapenda sana kunisalimia kwa kunikumbatia.
Yaani hata akiniona nimetoka dukani tu huja kunikumbatia hii tabia hakuwa nayo awali.

2. Huwa nina tabia ya kutizama televisheni mpaka usiku wa manane, akigundua kama niko macho kwenye kochi basi atakuja karibu yangu na kujikunyata kifuani kwangu ili tuangalie wote movie

3. Kuna siku nilikuwa naoga bafuni (chumba changu ni self) akaomba tuoge wote nilimkubalia kwa kujua ni rafiki tu ila aliamua kuniogesha mpaka mwisho

4. Hupenda kuninunulia zawadi za chupi na sidiria. Na juzi ile kaniletea zawadi ya kikuku cha mguuni.

5. Tukilala hupenda sana tukumbatiane na huwa namuona kama anapata hisia sana.
Sasa sielewi hisia za mwanamke na mwanamke anazitoa wapi?

6. Jana katoa kali, kasema eti maziwa yangu ni magumu nisijaribu kuyafanyia plastic surgery kwani nitayaharibu, anayapenda hivohivo.

Jamani huyu dada ananifanyia vituko vingi na vingine sisemi kwani ni aibu.

Mimi sina hisia nae kabisa japo ukikaa nae nasikia mpaka mapigo yake ya moyo yanavyodunda.
Mimi nimeumbwa kwa ajili ya mwanaume na si kwa ajili ya mwanamke mwenzangu.

Naombeni mbinu ya kumtoa hapa kwangu.
Kwao anasema ni Tengeru ila alikuja Dar kutafuta maisha.
Ananisapoti sana kimaisha kwani ni mchakarikaji sana ila shida ni hiyo tu.

Naogopa ipo siku nitamkuta juu ya kifua changu nami sitaki hali hiyo itokee.

Hapa nilipo namuangalia alivyolala kwa hisia.
Najua akiamka akinikuta natizama Tv atakuja kujikunyata pembeni yangu.

Wanaume naomba muungane na wanaume wote na wanawake wa humu kunipa ushauri.
Huyo anakutaka
 
Back
Top Bottom