Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Status
Not open for further replies.
Kitu mojawapo alonifundisha rafiki huyo ni kujizuia kutochukia na kutokuwa na hasira za haraka haraka! I'm so grateful kwakweli!
Sasa hicho ndiyo ulisema siri... But mbona umechukia na kumchukiza... Na hata sasa hivi umekasirika mpaka unaniitia Kasinde..
 
Even though we are passing through the valley of the shadow of death we shall fear not for we will find our way back home again stronger than ever before!
 
No hiko sio siri.. Kuna pahala nilisema he was a mentor and counselor to me.. Pia kuna the funniest and craziest moments ndokama hio siri
 
Hakuna kilichokuwa kama zaidi ya viungo vyako vya uzazi... Wewe sema tu ni nini hivyo...
 
Mapenzi shida sana, wakati mwingine unaweza kuwa penzini bila kujitambua kuwa upo pendoni pole sana mpotezee kisha muibukie baada ya kitambo kidogo kisha ufufue mahusiano
 
Even though we are passing through the valley of the shadow of death we shall fear not for we will find our way back home again stronger than ever before!
Definitely..... Things won't be the same again
 
Mapenzi shida sana, wakati mwingine unaweza kuwa penzini bila kujitambua kuwa upo pendoni pole sana mpotezee kisha muibukie baada ya kitambo kidogo kisha ufufue mahusiano
We were not lovers jamani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom