Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Status
Not open for further replies.
sasa si uwandike lugha moja kama kiswahili andika kwa kiswahil kama english andika kwa lugha iyo ila unachanganya kama nini

alaf nyie wasomi wa siku hizi ndo mana magu hawapi ajira pumbavuu
Rafiki yake akikaa sawa ndio ataandika vzuri....sahvi kachanganyikiwa chezea rafiki wa shida na raha wewe?! Kuwapata sio rahisi .....kwahivyo mpatie tuu ushauri mkuu.....okoa jahazi
 
Asante sana lakini Hatukuwa wapenzi
.nimeshamuomba sana msamaha mpaka naelekea ku surrender... Kuhusu kuonesha na kumwambia memmis nimemwambia weeeeeeee ndokwanza naona kama natwanga maji kwenye kinu.. Ivo vote still namkumbuka sana
Hilo pozi la avatar hebu mpe tuone
 
Hahaha wakiu
Wa kiume bestii.. ngoja nimpotezee tu God knows!
 
Rafiki yake akikaa sawa ndio ataandika vzuri....sahvi kachanganyikiwa chezea rafiki wa shida na raha wewe?! Kuwapata sio rahisi .....kwahivyo mpatie tuu ushauri mkuu.....okoa jahazi
Arhgh namimi nishasusa kumlamba lamba bana aende tu.
 
sasa si uwandike lugha moja kama kiswahili andika kwa kiswahil kama english andika kwa lugha iyo ila unachanganya kama nini

alaf nyie wasomi wa siku hizi ndo mana magu hawapi ajira pumbavuu

sasa si uwandike lugha moja kama kiswahili andika kwa kiswahil kama english andika kwa lugha iyo ila unachanganya kama nini

alaf nyie wasomi wa siku hizi ndo mana magu hawapi ajira pumbavuu
Sio uwanDike...
Bali UANDIKE
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…