Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Status
Not open for further replies.
Sio mimi labda! I'm a changed person. Hata unitukane unipige unisopole walaa siudhiki mie
Tabia na kama ngozi... Utairudia tu... Sikutukani... Sikupigi...

Kusopola ndiyo nini???

Ila utaudhika na kununa... Kama rafiki amefanikiwa why not me..
 
Nakuambia in general ili ujue hili ni dogo sana..
Kwako ni dogo huwezi jua kwa mwenzio
TMPDOODLE1488832088584.jpg
 
Tabia na kama ngozi... Utairudia tu... Sikutukani... Sikupigi...

Kusopola ndiyo nini???

Ila utaudhika na kununa... Kama rafiki amefanikiwa why not me..
Kusopola ni kumpiga mtu masingi... Argh rafiki Wee muache tu usimtaje taje atajing'ata buree... Ni wa kipekee sijawahi ona
 
Yap ushazoea kila mara kusema sema unadhani yataisha kama yanavyoishaga... This time umeipata... Nacheka kwa dharaaau...
Ngoja nami nikusaidie kucheka tena kwa sauti kubwa na kipaza sauti BWAHABWAHA BWAHABWAHABWAHABWAHABWAHA Khakhaakhaaaaaaaaaaaa halooooooooooooooooo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom