Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Status
Not open for further replies.
Habari ya jumatatu!
Jamani kuna rafiki yangu mmoja waukwee ambae nimemvurugaaa mwenzenu, nimemtibua kiasi kwamba naona kama kazira kabisaa mpaka nakosa raha.
Bado namkumbuka sana nakumbuka ushauri wake na mambo yake mengi mengi tu. I don't know what to do with this friend of mine coz I really missed him so much. I love and misses the time we had together. I miss every moment we shared.
He was a teacher mentor and a counselor to me. Amenifundisha kunishauri na kunielekeza mambo mengi sana. Sasa nimemuudhi na kakasirika hakuna mfano! Yani kakasirika mpaka naogopa!
He was not just a friend, a friend in deed. He hold my hands in every difficult situation in have encountered. Ni mtu wa muhimu sana na mwenye mchango mzuri mkubwa na wenye msingi katika maisha.
What kills me nikwamba ; we were so crazy and funny. He makes me laugh and smile always! mpaka nilijikuta nakua mwenye furaha na amani tele.
Kitu cha kuwa makini members think before you act wajameni mdomo ushaponza kichwa huku. Mwenzenu ndo nishampoteza rafiki mzuri ivo.
Though alikua rafiki ila naumia sana mwenzenu.
What should I do?? Help me out members!
Pole my Bestie km ni rafik WA kweli indeed i believe he will b back ata kabla hujaomba msamaha.....atakwambia tu au atakuuliza why did u do dat,then i hope mambo yatakua pouwa Bestie lyf will muv on
 
Pole my Bestie km ni rafik WA kweli indeed i believe he will b back ata kabla hujaomba msamaha.....atakwambia tu au atakuuliza why did u do dat,then i hope mambo yatakua pouwa Bestie lyf will muv on
Mh kwa hizi dalili sidhani.. let me go back to square one
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom