Rafiki yangu anatembea na mke wa mtu

Rafiki yangu anatembea na mke wa mtu

Vunja urafiki.

Siku yakimkuta yamkute akiwa peke yake..
Ila amshauri pia kutembea na KY kla anapoenda kuzini na huyo mzinzi mwnzie mn hajui siku jamaa akimfumania atakachomfanya........
 
hivi wewe ni ke au me,maana tabia hizo ni za kike tean walio na wivu wakitakabwana....we kama ni mwanaume naushamuonya rafiki yako basi ishia hapo ushafanya kazi yako nzuri...achakiherehere...ukamwambie ili uwenani shujaa au...unajua reaction abaada ya hapo....au ndio unataka ujute baada...achana namamboya watu ..fanya yako ushauri ushatoa inatosha
 
Cha maana edit na title kabisa...usimuite rafiki yako maana rafiki ni mtu mnayefanana tabia!

Baada ya hapo chapa lapa...
 
Acha umbea, kaa kimya. Kafanya maamuzi sahihi kwa upande wake. Kaa kimya.
 
Mwenye tatizo ni hao wenye ndoa.....wao ndiyo inabidi watafute namna ya kutotoka nje na si mshikaji.....mshikaji yeye ametumia udhaifu wa hao wanandoa

Mtafute huyo mme mwambie atafute namna ya kumdhibiti mkewe......aachane na mambo ya kugombana na mwanaume mwenzie.
 
Acha wivu, umeshamwambia rafiki yako hajaelewa, jamaa anayegongewa anajua hata amempigia simu. Kama ana namba ya simu mengine atayajua mwenyewe tu kama atataka ila wewe kwenda kusema wakati wao wana full information huo ni wivu
 
Siku hizi unapofumaniwa na mke wa mtu kinachokutokea hutotamani kuishi tena
 
Back
Top Bottom