barter trade...hio,
kama ni makubaliano mie sioni tatizo..
ila huyo rafiki yako ni wale wanaume washamba wasiojiamini,.
usishangae next time akaanza kusarandia housegirl hapo mtaani kwao..lol:embarrassed::redfaces:
eeeh huyo nae kazidi ndo tabia gani hiyo sasa anafanya?
tamu ya ndizi hiyoWAPWA NA MABINAMU nina rafiki yangu ambaye huwa ananunua beseni zima la ndizi la dada mmoja hivi anayetembeza ndizi akisha nunua huyu dada anakaa kwake mpaka jioni anamchakachukua mpaka jioni. hivi kweli hii imetulia?
IN GOD WE TRUST.
WAPWA NA MABINAMU nina rafiki yangu ambaye huwa ananunua beseni zima la ndizi la dada mmoja hivi anayetembeza ndizi akisha nunua huyu dada anakaa kwake mpaka jioni anamchakachukua mpaka jioni. hivi kweli hii imetulia?
IN GOD WE TRUST.
na assume kwamba huyo dada anapitisha hizo ndizi kila siku....................!
swali..je mshikaji anazifanyia nini ndizi zote hizo anazonunua mabesini kwa mabesini kila siku..............?
vidume tuna kazi..............!
nimejaribu kujiuliza ndizi zote hizo anafanyia nini........nimekosa jibu
nimejaribu kujiuliza ndizi zote hizo anafanyia nini........nimekosa jibu
WAPWA NA MABINAMU nina rafiki yangu ambaye huwa ananunua beseni zima la ndizi la dada mmoja hivi anayetembeza ndizi akisha nunua huyu dada anakaa kwake mpaka jioni anamchakachukua mpaka jioni. hivi kweli hii imetulia?[/COLOR]
IN GOD WE TRUST.
kuna mshikaji wetu fulani alikua anatuletea ndizi ofisini anasema zawadi toka shamba...........!
sasa rafiki ya QK inabidi afanye kitu kama hicho lkn bado hata huko office watapata maswali...inabidi Queen amshauri jamaa kama amependa achukue jumla halafu baadae wakiwa mke na mume...mke atapata utani mzuuri wa kumtania mumewe jinsi alivyokuwa akinunua beseni zima ili tu ampate................!
wanaume huwa mna kazi sana......mzima wewe lakini
mzima kabisa ............!
hofu na mashaka yangu ni juu yako wewe uliye mbele ya computer yangu...........!
vipi nije kukutembelea manta au ushapanda juu...............?
kama unahitaji nyoka nistue................!