Leo asubuhi nimepata wasaa wa kutembelea rafiki yangu comrade wangu wa siku nyingi, nimemkuta yuko na pilikapilika za kufua nguo zake za kesho kazini na huku anaanda breakfast.
Kumuuliza kulikoni kasema wife siku hizi anapewa overtime ya jmosi na j2 kwa hiyo anarudi saa 12 jioni, niliguna, nikajiuliza hivi pesa na ndoa kipi muhimu?
Alimkataza msichana wakazi kwasababu watoto wote 4 wako shule za bweni mpaka likizo ndo msichana wakazi ndo anaruhusiwa kuja, nyumba kubwa anakaa peke yake kama masikini mpweke, nikaona ndoa hii haina maana kama ni utelezi si masingo maza wamejaa kila mtaa kwanini nipate "psychological torture" ya kujifanya nina mke wakati naonana nae masaa tu afu usiku na amechoka mara 100 nioe wa form 4 failure ila ile dhana/matiki ya kuoe itimie.
Nimemkataza asiniandalie chai nimeshiba baada ya kuona anangaika, na muda wa stori hana nikamuaga kwasababu niliona anaona aibu kutoa nguo za mkewe kuzifua pia niliona nguo kwenye beseni za kike, looh!