Rafiki yangu anahisi kabambikiziwa mimba

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
Habari zenu wana jf,
Nna maswali kama matatu yananiyatiza nimeombwa ushauri nimeshindwa nikaoa nije kwenu wadau.
Nina rafiki yangu wa kiume(ni rafiki tu), ye anafanya kazi Dodoma, mwanzoni wa mwaka huu waliachana na gilfrend wake sababu kuu ni kutokuelewana na kila mmoja kujifanya bize na mambo yake, huyo mdada anaishi daslam, ilipofika march huyo mdada akaanza kupiga cmu wareconcile mshkaji akagoma ndipo huyo dada alipofunga safari kimyakimya to Dodoma mwishoni mwa mwezzi march akafanikiwa mshawishi mshkaji wakareconcile na kua wapenzi upya,BUT WALIFANYA MAPENZI BILA KINGA before huyo dada hajarudi DAR, BAADA YA CKU NNE AKAMPIGIA CMU MSHKAJI NA KUMWAMBIA ANA MIMBA YAKE na amejua coz zilikua tarehe zake na hakupata period ,MSHKAJI AKAGOMA, atafute wa kulea mimba , motto atakapozaliwa watapima DNA na hapo atakua tayari kulea mimba, kwa ufupi wakafunga mawasiliano kwa madai ya kungoja motto azaliwe,huyo binti anategemea kujifungua hii disemba mwishoni Mungu akipenda,sasa rafiki yangu kaja na maswali yafuatayo 3 anaomba nimshauri,
1. Kuna uwezekano wa mimba kua yake kutokana na maelezo hapo juu asichoamini ni baada ya cku nne kupigiwa cmu na kuambiwa nna mimba ya cku nne,JE INAWEZEKANA Enyi wataalam maana me nilikua najua hadi mwez i urukew cku zako ndio un aweza jua ukipima.

2. Taratibu za kupima DNA, kwa kua mama mtoto atakua DAR,hilo zoiezi litafanyika DAR, hivyo anaomba pa kuanzia aende wapi hospitali yeyote au kuna sehemu maalum,angeomba kujua na gharama zake za kupima.

Tatu, angependa kujua kama kuna mda maalum wa kusubiri kupima DNA mara mtoto anapozaliwa au umri wowote namaanisha cku moja,mwezi mmoja, miezi cita au haitegemei umri wa mtoto kupata majibu sahihi.

Nawasilisha wadau ningependa positive thouts toka kwenu
 
Mwanangu Suprise umenipsurprise kwanza kwa kujifanya unaomba ushauri kwa niaba ya rafiki yako ambaye ni wewe. Simpo. Umeingizwa mjini wala huna haja ya kufanya kipimo cha DNA kuliwa pesa yako bure. Huyo mwanadada aliamua kuja kukunasisha. Hata wataalamu wa mambo ya mimba hawana uwezo wa kujua mimba ndani ya siku nne. Alishakuwa na mimba yake akataka kukuingiza mkenge. Kama ukitaka kujua ukweli hebu hesabu siku tangu siku mlipopimana hadi siku atakapojifungua ndiyo utajua ukweli wangu.

Most doctors recommend that you wait until the first day of your missed period before taking a urine pregnancy test. This is usually about two weeks after conception. However, some tests are more sensitive than others and can be taken earlier. This is according to American Pregnancy Association.
If you are fertility charting, and you know your ovulation date, you may begin testing as early as 7-10 DPO (days past ovulation) when the hCG level in urine will, on average, reach 20 mIU/ml. We recommend using a first-morning urine sample as this will contain the highest concentration of hCG.
It takes about a month. If you read the pregnancy test it says that the month after you think you conceived is when you can test yourself, and the result will probably be more definite.
Sina haja ya kukuchosha na literature za mimba. Kwa ufupi ni kwamba hata kunguru angeng'amua uongo uliodanganywa. Siku nne? Hata mimba ya Yesu haikujulikana ndani ya siku nne so to speak. Fungua macho unaingizwa mkenge na kupigwa changa la mato.
 
kiufupi....akilitoa yai ana grace period ya siku tano, kama halijatumika huaribika. hapo huingia kipindi cha siku nane cha kutengeneza damu...sasa yeye walikutana siku nne kabla ya damu kumuanza. inamaana hilo yai lilikuwa lishaharibika....hivyo hakukuwa na uwezekano wa kupata mtoto.
 
Kuna mambo mawili magumu sana hapa inawezekana ni kweli au la maana ndani ya hili jiji ni mipango na hiyo ndio habari ya mujini.yeye alishtuka baada yakumc period kuna watu wako fixed sana na inawezekana haikuwa grace period.nafikiri DNA ni solution tosha hapa utapata mbwembwe nyingi sana,fungua kesi upewe jalada uende kwa mkemia mkuu upimwe DNA usijemchukia mwanao bure
 
sidhani kama kabambikiwa itakuwa yake tu,yeye anaenda enda tu kwa mabinti kula raha,
 
Mwanangu Suprise umenipsurprise kwanza kwa kujifanya unaomba ushauri kwa niaba ya rafiki yako ambaye ni wewe. Simpo. Umeingizwa mjini wala huna haja ya kufanya kipimo cha DNA kuliwa pesa yako bure. Huyo mwanadada aliamua kuja kukunasisha. Hata wataalamu wa mambo ya mimba hawana uwezo wa kujua mimba ndani ya siku nne. Alishakuwa na mimba yake akataka kukuingiza mkenge. Kama ukitaka kujua ukweli hebu hesabu siku tangu siku mlipopimana hadi siku atakapojifungua ndiyo utajua ukweli wangu.

Most doctors recommend that you wait until the first day of your missed period before taking a urine pregnancy test. This is usually about two weeks after conception. However, some tests are more sensitive than others and can be taken earlier. This is according to American Pregnancy Association.
If you are fertility charting, and you know your ovulation date, you may begin testing as early as 7-10 DPO (days past ovulation) when the hCG level in urine will, on average, reach 20 mIU/ml. We recommend using a first-morning urine sample as this will contain the highest concentration of hCG.
It takes about a month. If you read the pregnancy test it says that the month after you think you conceived is when you can test yourself, and the result will probably be more definite.
Sina haja ya kukuchosha na literature za mimba. Kwa ufupi ni kwamba hata kunguru angeng'amua uongo uliodanganywa. Siku nne? Hata mimba ya Yesu haikujulikana ndani ya siku nne so to speak. Fungua macho unaingizwa mkenge na kupigwa changa la mato.

umenionea mzazi, siwez kua mimi coz mimi ni ke jamani, basi mshauri tu coz anataka kumuaibisha huyo mdada mbele ya familia sababu ashatangaza kwa familia pande zote mbili kua rafiki yangu kampa mimba kaikataa so anataka afute huo mzizi wa fitina muelekeze taratibu tu wakapime coz wataenda na waewakilishi wa familia zote mbili,
 
olalalalalllallah!STUKA!
ETI NINA MIMBA YA SIKU NNE!ahahahahhahahahhaha
watu wana mipango mujhini hapa bana!kha!mimba ya siku nne mchezo!

duuh ,mimi nilishindwa kabisa jua kumbe kuna asilimia kubwa ya kua kadanganywa,sasa wadau msaidieni akapate hiyo kipimo kwa kujibu hayo maswali coz anataka kuondoa utata wa familia ambao washaanza mlaum huyo mkaka sasa anataka kama kumuumbua huyo mdada na kujivua lawama
 
Kuna mambo mawili magumu sana hapa inawezekana ni kweli au la maana ndani ya hili jiji ni mipango na hiyo ndio habari ya mujini.yeye alishtuka baada yakumc period kuna watu wako fixed sana na inawezekana haikuwa grace period.nafikiri DNA ni solution tosha hapa utapata mbwembwe nyingi sana,fungua kesi upewe jalada uende kwa mkemia mkuu upimwe DNA usijemchukia mwanao bure

naomba hizo procedure dada Nivea maana nimeona fungua kesi ,jalada, niambie tu procedure ya mwanzo hadi mwisho kumbe kuna cha kufungua kesi duuh
 
Katika zile 44%, hii ya huyu jamaa ipo ndani yake!!
 
umenionea mzazi, siwez kua mimi coz mimi ni ke jamani, basi mshauri tu coz anataka kumuaibisha huyo mdada mbele ya familia sababu ashatangaza kwa familia pande zote mbili kua rafiki yangu kampa mimba kaikataa so anataka afute huo mzizi wa fitina muelekeze taratibu tu wakapime coz wataenda na waewakilishi wa familia zote mbili,
Ukiondoa mimi baba wa wote ni vigumu IDs zenu kujulisha kama ni ke au me. Basi nisamehe binti yangu. Ila ushauri nimetoa na nadhani utamsaidia.
 
Dada X anaweza akawa na wanaume watatu tofauti( say A,B,C) na anajua katika wote hao, C pekee ndio anaweza kuwa Baba mzuri na anajiweza au familia yake inajiweza. Ikatokea bahati mbaya 'A' au 'B' akampa ujauzito atafanya kila HILA ili kumuaminisha C kuwa ujauzito ni wake kwa gharama yoyote ile, hata umuapishe atasema C ndiye muhusika.

So kwa case yako naweza nikahisi labda atakuwa alijua ana ujauzito then akaforce kuja Dodoma kuriconcile na kukutana na wewe kimwili ili uwe baba wa kichina, it may be that way. other wise ni kati ya ''suprise ambayo nayo inaji-suprise yenyewe''
 
Najaribu kufikiria kiupuuzi, Mwanamke anawezaje kujijua kuwa ana mimba ndani ya siku nne? Imagine mmefanya leo, mnashinda siku mbili zainazofuata, siku ya nne yeye ajijue ana mimba, kajuaje???! Alienda kupima? Au kuna mabadiliko gani ya kimwili yanayoweza kutokea ndani ya siku nne? Huyo dada ni sensitive kiasi gani atambue mabadiliko ndani ya siku nne? Kitaalam ni ngumu sana. Kuna kila dalili ya kuwa unataka kubambikwa. Nashauri ni bora wasubiri mtoto azaliwe wakapime ingawa maelezo ya awali yanaonyesha wazi kuwa kuna kamchezo kamefanyika!!!
 
Haina haja ya kupima DNA wala Kupima Nonini au Kupima Juakali....Mtoto umebambikiwa demu hawezi jua kama ameshika mimba mpaka mwezi upite hapo asipoona mchuzi atasikilizia mwezi mwingine ndio atakomfemu sasa huyu wa kwako wa siku 4 halafu alishajua kanasa ndio maana akawa anakulzimisha wewe! Halafu kitu kingine acha kusingizia rafiki yako kwani uksema wewe kuna ttzo gani? 44% ya wanaumme wamebambikiwa watoto!!
 
ucjali baba, c unajua raha ya kua anonymus
 
kaka wangu shangaa na wewe, huyo binti alidai zilikua siku za yeye kwenda period so alivyokosa akapata wasiwas ni mimba akaenda pima na adamiconfidence kua hajawahi sex na mwanaume mwengine dats y akamuibukiaq mshkaji kumwambia mimba yake, ila hapo kwa cku nne me mwenyewe kama mdada nimeshindwa amini.Tunasubiri mtoto tu akapimwe ila ndo wote weupe hatujui pa kuanzia hizo taratibu
 
Haina haja ya kupima DNA wala Kupima Nonini au Kupima Juakali....Mtoto umebambikiwa demu hawezi jua kama ameshika mimba mpaka mwezi upite hapo asipoona mchuzi atasikilizia mwezi mwingine ndio atakomfemu sasa huyu wa kwako wa siku 4 halafu alishajua kanasa ndio maana akawa anakulzimisha wewe! Halafu kitu kingine acha kusingizia rafiki yako kwani uksema wewe kuna ttzo gani? 44% ya wanaumme wamebambikiwa watoto!!

kingkong we kama unashauri shauri tu c kulazimishana mtoto awe wangu maana huko ni kunibadilisha jinsia, nishamjibu father of all so jaribu kusoma na post za wenzio
 
Haina haja ya kupima DNA wala Kupima Nonini au Kupima Juakali....Mtoto umebambikiwa demu hawezi jua kama ameshika mimba mpaka mwezi upite hapo asipoona mchuzi atasikilizia mwezi mwingine ndio atakomfemu sasa huyu wa kwako wa siku 4 halafu alishajua kanasa ndio maana akawa anakulzimisha wewe! Halafu kitu kingine acha kusingizia rafiki yako kwani uksema wewe kuna ttzo gani? 44% ya wanaumme wamebambikiwa watoto!!

umetishaaa mbayaaaaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom