Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Habari zenu wana jf,
Nna maswali kama matatu yananiyatiza nimeombwa ushauri nimeshindwa nikaoa nije kwenu wadau.
Nina rafiki yangu wa kiume(ni rafiki tu), ye anafanya kazi Dodoma, mwanzoni wa mwaka huu waliachana na gilfrend wake sababu kuu ni kutokuelewana na kila mmoja kujifanya bize na mambo yake, huyo mdada anaishi daslam, ilipofika march huyo mdada akaanza kupiga cmu wareconcile mshkaji akagoma ndipo huyo dada alipofunga safari kimyakimya to Dodoma mwishoni mwa mwezzi march akafanikiwa mshawishi mshkaji wakareconcile na kua wapenzi upya,BUT WALIFANYA MAPENZI BILA KINGA before huyo dada hajarudi DAR, BAADA YA CKU NNE AKAMPIGIA CMU MSHKAJI NA KUMWAMBIA ANA MIMBA YAKE na amejua coz zilikua tarehe zake na hakupata period ,MSHKAJI AKAGOMA, atafute wa kulea mimba , motto atakapozaliwa watapima DNA na hapo atakua tayari kulea mimba, kwa ufupi wakafunga mawasiliano kwa madai ya kungoja motto azaliwe,huyo binti anategemea kujifungua hii disemba mwishoni Mungu akipenda,sasa rafiki yangu kaja na maswali yafuatayo 3 anaomba nimshauri,
1. Kuna uwezekano wa mimba kua yake kutokana na maelezo hapo juu asichoamini ni baada ya cku nne kupigiwa cmu na kuambiwa nna mimba ya cku nne,JE INAWEZEKANA Enyi wataalam maana me nilikua najua hadi mwez i urukew cku zako ndio un aweza jua ukipima.
2. Taratibu za kupima DNA, kwa kua mama mtoto atakua DAR,hilo zoiezi litafanyika DAR, hivyo anaomba pa kuanzia aende wapi hospitali yeyote au kuna sehemu maalum,angeomba kujua na gharama zake za kupima.
Tatu, angependa kujua kama kuna mda maalum wa kusubiri kupima DNA mara mtoto anapozaliwa au umri wowote namaanisha cku moja,mwezi mmoja, miezi cita au haitegemei umri wa mtoto kupata majibu sahihi.
Nawasilisha wadau ningependa positive thouts toka kwenu