sidhani kama kabambikiwa itakuwa yake tu,yeye anaenda enda tu kwa mabinti kula raha,
toa reason c kukoment tu
Mwambie huyo rafiki yako ajal afya yake siyo kuwa zipu wazi ka mnyama...kwan aweza kutana na ishu ka hyo tena coz he is so careless so atibu mzizi wa tatizo na cyo matokeo...