Rafiki yangu amenishawish ni join Jf.

Alinimbia kuna ku chat.. Nafikiri ndo hapa..wadau..

rafiki yako ana akili...akikushawishi lingine usikatae na uje kutuambia pia...
karibu sana kisiwa cha burudani...pole uliowakuta zamu reception ni nomaaa!gangamala lakini.
 
pamoja sana mdau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom