klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
ndoto yako iko right, mwezi ujao nitawaaga rasmi. Nimepata kibarua UNAm doing so much fine!...
Nimekuota umejitoa jf..
ndoto yako iko right, mwezi ujao nitawaaga rasmi. Nimepata kibarua UNAm doing so much fine!...
Nimekuota umejitoa jf..
Nitafute kwaajili ya kuangalia nyota yako...rangi yako ya bahati ni zambarau, tena iwe suruali.ndoto yako iko right, mwezi ujao nitawaaga rasmi. Nimepata kibarua UN
Halaf inaonekana nitonye anakuharib sana. Enzi zile uko na mimi ulikuwa unaongelea update za Iphone, galaxy, Ipad yaani ulikuwa fulu teknology lakini tangu umekuwa karib na nitonye umekuwa unahubiri uganga wa kienyeji tu. Huyu nitonye anafanya kazi gani?Nitafute kwaajili ya kuangalia nyota yako...rangi yako ya bahati ni zambarau, tena iwe suruali.
Poa kamanda, karib sana JF, huyo nilomquote hapo juu ndio sweetlady, akismile tu basi rijali lazima ufike kileleni.Mkuu klorokwin... happy to meet you... niko vizuri .
Lahaula lakwata we klorokwini!...Poa kamanda, karib sana JF, huyo nilomquote hapo juu ndio sweetlady, akismile tu basi rijali lazima ufike kileleni.
Ni daktari mkuu pale Muhimbili ila hajagoma!Halaf inaonekana nitonye anakuharib sana. Enzi zile uko na mimi ulikuwa unaongelea update za Iphone, galaxy, Ipad yaani ulikuwa fulu teknology lakini tangu umekuwa karib na nitonye umekuwa unahubiri uganga wa kienyeji tu. Huyu nitonye anafanya kazi gani?
Mbona ze finest alisema jamaa anafanya mochwari ya Muhimbili. Mnanikonfyuzi sasaNi daktari mkuu pale Muhimbili ila hajagoma!
Amini nilichosema mimi.Mbona ze finest alisema jamaa anafanya mochwari ya Muhimbili. Mnanikonfyuzi sasa
Siongopei, halaf nimekurecommend kwa kanumba ukapambe muvi yake mpya, utakuwa mke wa starring halaf utaibiwa na zungu la unga utatoroshewa pakistanLahaula lakwata we klorokwini!...
Ze finest yupo kizuizini malawi, alikuwa anafanya magendo ya kusambaza vyura kwa wachina wa malawi. Uhamiaji WamemdakaAmini nilichosema mimi.
Hivi lawyer ze finest yuko wapi?
Hahahaaaaa!...taratibu bana sina hela ya kwenda india kutibu mbavu zikivunjika..Siongopei, halaf nimekurecommend kwa kanumba ukapambe muvi yake mpya, utakuwa mke wa starring halaf utaibiwa na zungu la unga utatoroshewa pakistan
Sasa lawyer kweli umeshindwa kutumia cheo chako kumwekea zamana TF?Ze finest yupo kizuizini malawi, alikuwa anafanya magendo ya kusambaza vyura kwa wachina wa malawi. Uhamiaji Wamemdaka
Mimi ni undercover mod, nitatoa hela za michango ya JF tukupeleke India. Lakini hela haitoshi kuchukua wapambe, tutakwenda mimi na wewe tu, Nitonye ataruhusiwa kukusindikiza mpaka uwanja wa kambarage nyerere tuHahahaaaaa!...taratibu bana sina hela ya kwenda india kutibu mbavu zikivunjika..
Sasa lawyer kweli umeshindwa kutumia cheo chako kumwekea zamana TF?
hehehe mbona niko nae PM tayari ananiimbia bluz ya marehemu whitneynaona unataka kumtupia "voko"
poa sana... ngoja na mie niwe famous.. naweza pata Mtoto pia... wako wengi kwelii...