Rafiki yangu amedisko

Rafiki yangu amedisko

Ni kweli ila kinachouma ni kupotezewa time & resources....nakumbuka watu wangu wa3 walipigwa disco aisee walichanganyikiea + shombo za haters lakini leo wapo vizuri tu kimaisha
Kuwa tu makini maana sasa tunaona darasa la 7 linawaajiri ninyi na degree zenu na ''kuwafundisha kazi''
 
dah nlikuwa na supp 2 mkuu,kdgo znilete shda kwnye gpa.namshkur Mungu mana,watyu weng wameondoka hap campus n hatar yani.adi nkifkriag natetemek
Dah noma sana mkuu Ile department ni hatari, komaa sana na kozi za semester hii, maana kozi za second semester zote zimekaa kushoto
 
Ku disco mzumbe ni jambo la kawaida sana... Hata aki appeal ni ngumu sana kuchomoa kwa sababu kama ww ni wa campus ya mbeya basi mitihani yako itasahihishwa na lecture Wa Moro
 
jina lenyewe ni kisu cha ngariba

msaada gani wataka kumpa labda kum##$%*%$ li
 
Kuwa tu makini maana sasa tunaona darasa la 7 linawaajiri ninyi na degree zenu na ''kuwafundisha kazi''
Kuna vyuo mwisho sup 3 tu kwa mwaka yaani ukipata 4 kwenye semesta 1 Umedisco .pia iwapo kila semesta una sup na jumla zikiwa 4 unakula disco.....usiombe sasa uwe na sup 3 semesta ya kwanza yaani ukianza semesta ya pili full hofu & stress
 
Mzumbe kwan sup ngap una kuwa ume disco?
 
Dah noma sana mkuu Ile department ni hatari, komaa sana na kozi za semester hii, maana kozi za second semester zote zimekaa kushoto
dah sawaaa mkuu,mmetuacha pale tunakomaa wenyew ase ni mambo magum sema ngoja tukazee tu mana wale watyu wa pale sio wazur kabisaaa yani.honger kw kumaliz....ila haukunialika mkuu kw graduuu
 
Hivi mtu ana-disco chuo alikuwa anasoma au anacheza tu. Hakuna elimu iliyo rahisi kufaulu kama chuo kikuu. Hii semester system ni ya ku-disco kweli? Kwangu mimi kitabu kigumu ni mtihani wa form 4 na form 6.
 
Acha kudanganya watu ww! inategemea course gani na chuo gani,! bila shaka ww ni vyuo vya St..... na KAMPALA!
 
Hapana hiyo sababu yako ya pili sio ya kweli.
Ni kweli ndugu yangu, wanawake wana kazi sana katika kuyashinda majaribu,

Wakati nipo chuo kuna mwalimu aliniletea hilo zengwe, nilivyomtosa akasema nitakuonesha, nikadhan masikhara, siku naenda kusign course work yake naambiwa sijakamilisha, nikashangaa sana,

Nakumbuka ilikua Ijumaa halafu Jumatatu mtihani, nahoji kwanini anasema jeuri mwenzie kiburi.

Nikasema kumbe hunijui wewe, nilimuangushia kilio cha kujigalagaza, watu wakajaa nikajielezea, aibu ikawa juu yake.
Hiyo ndio ilikua pona yangu, je unadhani ni wangapi wanafanyiwa hayo mambo??
 
Safi sana Mimi nawakubali wadada kama nyinyi
 
Back
Top Bottom