Rafiki yangu amedisko

Rafiki yangu amedisko

ahaaaa kuliwa kichwa on air kama amedisko asubiri mwakani kwa ajili ya kuanza upya kwani kwa sasa CAS za nacte na tcu hazifanyi kazi mpaka mwakani duuu kudisko kuchungu sana wajameni pole ndo maisha hayo ama afanye plan B tu
Duu asubil mpaka mwakan !!!
 
Rafiki yangu ana soma mzumbe mwaka wa 2 matokeo yame toka amedisko...ana fanya mpango wa ku appeal ..da namuonea sana huruma mana jana jilipia ata bumu hapati ..ALAFU NI MTOTO WA KIKE..nimsaidiaje wakuu naomben mawazo yenu
Wanasema ndege wenye bawa moja huruka pamoja, mkuu kwa mwandiko huu hata wewe andaa kichwa kinyozi anakaribia kwako.
 
54570443f68b3c539c8bfb80b851c6f7.jpg
 
Rafiki yangu ana soma mzumbe mwaka wa 2 matokeo yame toka amedisko...ana fanya mpango wa ku appeal ..da namuonea sana huruma mana jana jilipia ata bumu hapati ..ALAFU NI MTOTO WA KIKE..nimsaidiaje wakuu naomben mawazo yenu
We ndo umedisco
 
Duu asubil mpaka mwakan !!!
sasa hafanyaje ndugu vinginevyo aombe apo mzumbe tena arudie mwaka ila warning wanafunzi wote ina bidi wadailiwe kupitia TCU na NACTE au akasome short course yoyote mwaka si mrefu wa kumi apuliza filimbi kwa ajili ya mwaka wa kwanza N.B KUDISKO SIYO MWISHO WA MAISHA
 
mtu aki Disco ame Disco sioni mmbadala zaidi y kutafuta shughuli
Rafiki yangu ana soma mzumbe mwaka wa 2 matokeo yame toka amedisko...ana fanya mpango wa ku appeal ..da namuonea sana huruma mana jana jilipia ata bumu hapati ..ALAFU NI MTOTO WA KIKE..nimsaidiaje wakuu naomben mawazo yenu
 
mtu aki Disco ame Disco sioni mmbadala zaidi y kutafuta shughuli
ndo humtajie hiyo shughuli maana watu wa kidisko utasikia nipo china nasoma au sina ada noma sana kuna chuo X ni kawaida 1000 kuwalamba kichwa
 
ase pole yake mkuu,dah hatar sana ase watu tumeponea kudisko yani acha tu,cha msing awe mpole kwanza akili yake itulie then ajaribu kufaham nin lilikuwa tatzo mpaka akadisko mana kam anatak kuappeal means ana uhakika alifanya vema,ila kama alifeli halali bas ajaribu kupeleleza au kufatilia kam kuna njia yoyote au mtu wa kumsaidia mana najua lada kuna weng washawahi kudisko ila wamerudi kuemdlea kusoma chuo,apate ushauri kwa watu wazur wa karbu anaowafahamu hapo chuo.apate pa kuanzia
 
Sisi cheti tulianza 116 IAA kozi yetu mpaka tunamaliza diploma tumemaliza 46 na wengine hawajafikisha GPA kati ya hao 46. Mpe pole sana asee inauma sisi waliodisco ni wale wanajifanya wametoka dar watoto wa mujini kumbe kichwani hakuna kitu...
Dah mkuu mim ndo napga apo saiv daaah napambana na hali angu mambo ni magumuuuuu
 
Ku disqualify ni sehemu ya maisha ya mwanafunzi anapokuwa chuoni katika masmo take
Husababisha na sababu za ndani intrusive factors kama vile woga, msongo, mgandamizo, msongo, ukichaa, kuchoka, upweke, njaa, hasira na kadhalika

Au sababu za nje extrusive factor ambazo zinaweza kuwa ni familia, kazi, biashara, walimu, marafiki, maeneo, fedha, burudani na starehe

Sasa jinsi ya kumsaifia ni kukuandaa kisaikolojia kwamba yeye si wa kwanza Ku disco, arudi nyumbani, atulie, mwakani aombe chuo kingine, a some

Na pia ajue masomo yanahitaji utulivu wa kisaikoloji
 
Hivi mtu ana-disco chuo alikuwa anasoma au anacheza tu. Hakuna elimu iliyo rahisi kufaulu kama chuo kikuu. Hii semester system ni ya ku-disco kweli? Kwangu mimi kitabu kigumu ni mtihani wa form 4 na form 6.
ukiongea weka na akiba ya maneno. kudisco si kwamba husomi
kudisco=jela. wanaokwenda si wote wana hatia
 
dah....rafiki yangu pia alidisko pale.kamatii ilikaa
tukafanikiwa:
techniues
1.fata lecture m moja m moja wa.kla coarse
2.adult zine.za.kutosha
3.Make any adult conficing.liars.
4.Amfate lecture 1amabaye anahisi. atamsadia
sababu mzumbe kuna ile accumulation sups. ategue moja.

Hebu wasome hawa great thinkers hapa chini afu ujisahihishe..

Kwa huu uandishi basi hata wewe pia Ulidisko.
Yaani huwezi kukubali kuwa hawa ni wanafunzi wa chuo, ujinga ujinga tu.
 
Yani hata sio sup, ni disco
kweli mnacheza sana huko vyuoni hamko serious hata kidogo, kuna wenzenu wanaitafuta hiyo nafasi wanaikosa, mtakuja kushtuka kumeshakucha
 
ase pole yake mkuu,dah hatar sana ase watu tumeponea kudisko yani acha tu,cha msing awe mpole kwanza akili yake itulie then ajaribu kufaham nin lilikuwa tatzo mpaka akadisko mana kam anatak kuappeal means ana uhakika alifanya vema,ila kama alifeli halali bas ajaribu kupeleleza au kufatilia kam kuna njia yoyote au mtu wa kumsaidia mana najua lada kuna weng washawahi kudisko ila wamerudi kuemdlea kusoma chuo,apate ushauri kwa watu wazur wa karbu anaowafahamu hapo chuo.apate pa kuanzia
Sawa mkuu point yako ni nzuri
 
Yani hata sio sup, ni disco
kweli mnacheza sana huko vyuoni hamko serious hata kidogo, kuna wenzenu wanaitafuta hiyo nafasi wanaikosa, mtakuja kushtuka kumeshakucha
Lin kweny maisha hivi vitu hutokea
 
Back
Top Bottom