Rafiki yangu alinidhalilisha nilipokuwa shuleni, nikatengwa na wanafunzi wenzangu mpaka leo napenda kukaa peke yangu tu

Siku nyingine ukiwa bullied stand bold na wewe rusha kombora au fanya tukio konki lisilotegewa, mengine yatajisort huko mbele kuna sentensi fupi mfano Nitakachokufanya utajuta, Utasimulia Usiku hutapita Nitakuendea yani ulikosa kabisa sentensi au unamtafuta mtu akiwa peke yake unampa tamko au tangazo takatifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is an assertive person?
Being assertive means being able to stand up for your own or other people's rights in a calm and positive way, without being either aggressive, or passively accepting 'wrong'. Assertive individuals are able to get their point across without upsetting others, or becoming upset themselves.

Kama ule ushauri wa kwanza ni wakibabe sana jaribu huu; kuwa na Assertive behavior mweleze mtu straight away usimwogope hata kama humwambii kwa sauti kali lakini ajue umeudhika na kwamba your capable of taking action asipokuwa makini; then usiweke akilini au kuogopa watu wakikufanyia bullying wengine ni wahanga wa magonjwa au shida zao binafsi so take it easy and simple life will be good,always remember what does'nt kill you makes you stronger so there is nothing to be afraid of

Kama ni mtu ambaye amekuzidi kitu au uwezo flani mpe body language ambayo ni confident tarifa itamfikia tu, unawaeza ukanyanyuka ukamwangalia tu then ukapita hivi....... kuna jinsi yakufikisha furious message muhusika akashika adabu akapunguza mazoea pia mara nyingi ongea with confidence,stable eyes and firm hand shaking if required so, Jiamini
 
Nina tabia ya kupenda penda kukaa mwenyewe tu miaka ya sasa hivi ukilinganisha na zamani. Kufupisha stori ni kuwa miaka ya shule ya msingi nilikua napenda kujichanganya na marafiki zangu muda wote kucheza kusoma na hata kufanya kazi za nyumbani kwa pamoja.

Tulipenda kushirikiana kila kitu, tulipoingia form one niliendelea na tabia ya kujichanganya na watu sasa suala la mademu ndio liliniletea hayo yote.

Sasa mimi na jamaa yangu tulikua marafiki wa kushibana ile mbaya toka primary huko na tulitokea mtaa mmoja majirani kabisa. Sasa nilikua na demu wangu form one jamaa si akamtamani, akawa ananitania kuwa atanichukulia nikaona joke tu. One day nikamkuta kamshika na mkono kabisa tena nikaona wakikumbatiana.

Nilimind kichizi kesho nikamfata jamaa mbele ya masela nikamwambia oya hii tabia sijaipenda mbona madem wapo kibao tu kwanini usitafute wako? Ilikua nusu tupigane pale basi jamaa mmoja akatutoa pale.

Kuanzia hiyo siku ikawa ni bifu na msela ukimsalimia au ukimsemesha haongei ikawa ameweka bifu kabisa.

Jamaa alipochaguliwa monitor na baadae akawa kiranja si ndo akaanza kuniattack! Akawa anatumia ushawishi wake mpaka akaweza kunigawa na kunitenganisha na darasa lote atafanya matukio ila atahakikisha kanipakazia mimi inshort alikua ananionea mimi.

Ilifika kipindi ikawa kahakikisha kanigombanisha,kunitenganisha na darasa lote na hadi kwenye list ya wasumbufu au hata akiwa kama kiongozi ikawa akipeleka list ya wanafunzi wasumbufu au wasiofaa ananiweka mimi tu.

Ukizingatia nilikua ni mpole na nilikua nasoma kwa bidii sana na ndio kitu kilimuua pia na kwao pia walikua na uwezo sana compare na mimi nilotokea family ya kawaida japo tulikua majirani.

Ilifikia kipindi nikaona uonevu umezidi na kunidhalilisha maana kila kibaya kikinitokea atanizomea, au kunicheka kwa nguvu darasani akisema "Safi sana" alinichukia bure bila sababu yoyote.

Nakumbuka kuna siku ilitokea nikaanguka alishangilia na kucheka sana nyumbani wazazi wetu waliujua ukweli na wazazi wake walikaa wakamuuliza sababu ya kunichukia akasema hana akaambiwa apatane na mimi akagoma kabisa.

Kitu kipotee darasani ataniandika mimi ilhan mimi sikua mwizi kabisa hata mpaka leo ni agano langu sitoiba mpaka naingia kaburini.

Nilivyoona udhalilishaji na visa vyake vimezidi kwa sababu tu alikua na ushawishi darasani niliona tu ni bora nianze kujitenga na darasa na kuamua kukaa mwenyewe mwenyewe tu.

Maisha ya mimi kukaa mwenyewe yalianzia hapo hadi nikazoea miaka 3 mfululizo hadi tulipofika form 4 siku moja alinifata mwenyewe akaniomba msamaha nilimsamehe ila ilikua tayari ni too late nilikua tayari nishazoea ile tabia ya upweke upweke tu.

Wanafunzi wenzangu walikuja kugundua ukweli wote wakati tunamaliza kidato cha nne kwamba rafiki yangu ndio alikua anafanya matukio yote yale niliokua napakaziwa mimi kwasababu pia kuna rafiki yake mmoja walikorofishana ndio akanipasha ukweli wote kuwa jamaa ndio alikua ananihujumu.

Basi ndo hivyo tangu hicho kipindi sipendi kuchanganyika na watu kivileeee japo ni muongeaji sana ila muda mwingi napenda kujifungia tu geto yaani ni kuwa huwezi kunikuta eti kijiweni na wanaume wenzangu tunapiga stori no hiyo ni ndoto nitatoka nitaenda dukani na kurejea ndani tu.

Mpaka leo ninaishi hivyo nina marafiki wa kiume wa juu juu tu ile basi tu na hata tukikutana ni salamu tu na kuondoka nina rafiki mmoja tu namuamini na ndio kila kitu kwangu tena ni msichana. Huyu msichana ndio rafiki yangu wa dhati anayenielewa kiufupi anajua kila kitu kuhusu mimi a to Z.

Nina mengi ya kueleza nitawaeleza yote hivi karibuni hili jambo nikikumbuka huwa nalia sana hapa naandika huku nikiumia sana.

Sent using jamii forums mobile a
pp
Jaribu kutafuta mtu wa kiroho akufanyie screening
 
Hii situation ni yangu kabisaaaaaa, lakini me sikudhalilishwa ilikuwa kwangu binafsi, ilinitokea nikiwa o level, kwani maisha yangu utotoni nikuwa napenda kukaa na jinsia ya kike, kucheza na wasichana, hata primary marafiki zangu walikuwa ni wasichana, shida ilikuja nilivofaulu na kuchaguliwa kujiunga kidato Cha 1 katika shule ya wavulana tupu halafu pia ni ya Bweni, nilipata shida katika namna ya kuishi pale kutokana kuwa na mazoea na jinsia ya kike iliahali pale ilikua ni kiume pekee, hivyo nikawa najitenga tuu na kuwa pekee Hadi nikamaliza kidato cha 4, pia nilivoenda advance Hali ilikuwa hivyohivyo, na Hadi leo nimekuwa mtu wa kujitenga tuu nitakuwa na watu pale sehemu maalumu na kwa uhitaji, vinginevyo nakaa pekee angu na kikubwa zaidi sipendi mazoea na watu hasa jinsia yangu ya kiume. Marafiki zangu ni wasichana tyuuh.

Dah! unatia huruma sana mkuu
 
Ulivomaliza form 4 ukajitenga na shule hukuendelea tena?
 
Hizi ni personality Ambazo mtu anazaliwa nazo au anazitengeneza kutokana na mazingira yaliyopo ama muunganiko wa Matukio, na ubongo ukishaadapt na kukipitisha ndio huwa tabia yake moja kwa moja, Enerygy zetu zinatofautiana kwa namna moja ama nyingine, kuna mtu anaweza kuwa muongeaji mbele za watu mwingine hawezi, ata umuunde vipi hawezi maana sio tabia ama kariba yake(Huwezi mpandisha mti samaki). Kuna mwingine ili atengeneza hoja nzuri lazima akae peke ake ajitafakari ndipo atoke kuzungumza ila kuna mwingine papo kwa Hapo. Ndio maana kuna makundi mawili ya watu ambazo ni INTORVERT AND EXTROVERT, hizi mbili hazichangani kabisa moja huwa dominant ya mwingine na ndio huwa tabia ya mtu. Sishangai mtoa mada kuwa hivi kutokana na muunganiko wa matukio yaliyofanya ubongo kujitengenezea Tiba na amani kwa namna nyingine.
 
Kuna wakati tunapaswa kuvaa uhusika wa wengine na kuwatia moyo kama tunslo la kuwatia moyo.
Vinginevyo ni bora kunyamaza kuliko kuongea neno la kumvunja moyo.
Wanadamu tuna hatua ya ukuaji na ustahimilivu wa mambo.
Huyu ni kijana mdogo usitake asimulie mambo mazito sawa nawe.
THE BOSS umesahau matakataka yako ulipokuwa mchanga hapa jf?

Onyesha tofauti basi na huyu tuone ukomavu wako.
Najua utakimbilia kuona ni lini nimejiunga jf, lkn nakufahamu kwa sehemu kubwa tangu awali.
Ukikua utaacha..

Sent using Jamii Forums mobile app

Carleen
 
Hii situation ni yangu kabisaaaaaa, lakini me sikudhalilishwa ilikuwa kwangu binafsi, ilinitokea nikiwa o level, kwani maisha yangu utotoni nikuwa napenda kukaa na jinsia ya kike, kucheza na wasichana, hata primary marafiki zangu walikuwa ni wasichana, shida ilikuja nilivofaulu na kuchaguliwa kujiunga kidato Cha 1 katika shule ya wavulana tupu halafu pia ni ya Bweni, nilipata shida katika namna ya kuishi pale kutokana kuwa na mazoea na jinsia ya kike iliahali pale ilikua ni kiume pekee, hivyo nikawa najitenga tuu na kuwa pekee Hadi nikamaliza kidato cha 4, pia nilivoenda advance Hali ilikuwa hivyohivyo, na Hadi leo nimekuwa mtu wa kujitenga tuu nitakuwa na watu pale sehemu maalumu na kwa uhitaji, vinginevyo nakaa pekee angu na kikubwa zaidi sipendi mazoea na watu hasa jinsia yangu ya kiume. Marafiki zangu ni wasichana tyuuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh na hapo kwenye picha ni wewe?
 
Hizi ni personality Ambazo mtu anazaliwa nazo au anazitengeneza kutokana na mazingira yaliyopo ama muunganiko wa Matukio, na ubongo ukishaadapt na kukipitisha ndio huwa tabia yake moja kwa moja, Enerygy zetu zinatofautiana kwa namna moja ama nyingine, kuna mtu anaweza kuwa muongeaji mbele za watu mwingine hawezi, ata umuunde vipi hawezi maana sio tabia ama kariba yake(Huwezi mpandisha mti samaki). Kuna mwingine ili atengeneza hoja nzuri lazima akae peke ake ajitafakari ndipo atoke kuzungumza ila kuna mwingine papo kwa Hapo. Ndio maana kuna makundi mawili ya watu ambazo ni INTORVERT AND EXTROVERT, hizi mbili hazichangani kabisa moja huwa dominant ya mwingine na ndio huwa tabia ya mtu. Sishangai mtoa mada kuwa hivi kutokana na muunganiko wa matukio yaliyofanya ubongo kujitengenezea Tiba na amani kwa namna nyingine.

Mkuu Popote Ulipo Ubarikiwe Sana umeongea kitu ambacho kitu ambacho kimenigusa Sana Sana

Am among of the People ambao kuongea mbele za mtu Watu ina kua shida na hata nikiongea Mara nyingi hawanielew within a short time Lakini wao Nawaelew..(sijui ndio intro au extrovert)

Vile Vile niko Fragile kama Dogo Mtoa Mada sio Sana Sababu I knew it mda mref hainites Sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom