Rafiki yangu alinidhalilisha nilipokuwa shuleni, nikatengwa na wanafunzi wenzangu mpaka leo napenda kukaa peke yangu tu

Hii situation ni yangu kabisaaaaaa, lakini me sikudhalilishwa ilikuwa kwangu binafsi, ilinitokea nikiwa o level, kwani maisha yangu utotoni nikuwa napenda kukaa na jinsia ya kike, kucheza na wasichana, hata primary marafiki zangu walikuwa ni wasichana, shida ilikuja nilivofaulu na kuchaguliwa kujiunga kidato Cha 1 katika shule ya wavulana tupu halafu pia ni ya Bweni, nilipata shida katika namna ya kuishi pale kutokana kuwa na mazoea na jinsia ya kike iliahali pale ilikua ni kiume pekee, hivyo nikawa najitenga tuu na kuwa pekee Hadi nikamaliza kidato cha 4, pia nilivoenda advance Hali ilikuwa hivyohivyo, na Hadi leo nimekuwa mtu wa kujitenga tuu nitakuwa na watu pale sehemu maalumu na kwa uhitaji, vinginevyo nakaa pekee angu na kikubwa zaidi sipendi mazoea na watu hasa jinsia yangu ya kiume. Marafiki zangu ni wasichana tyuuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapokuwa na wanaume inakuwa aje? Huwezi kuongea au kuchangia lolote?
Kati ya hao wasichana, kuna ambaye sio rafiki, ni mpenzi wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mimi tu
Hii situation ni yangu kabisaaaaaa, lakini me sikudhalilishwa ilikuwa kwangu binafsi, ilinitokea nikiwa o level, kwani maisha yangu utotoni nikuwa napenda kukaa na jinsia ya kike, kucheza na wasichana, hata primary marafiki zangu walikuwa ni wasichana, shida ilikuja nilivofaulu na kuchaguliwa kujiunga kidato Cha 1 katika shule ya wavulana tupu halafu pia ni ya Bweni, nilipata shida katika namna ya kuishi pale kutokana kuwa na mazoea na jinsia ya kike iliahali pale ilikua ni kiume pekee, hivyo nikawa najitenga tuu na kuwa pekee Hadi nikamaliza kidato cha 4, pia nilivoenda advance Hali ilikuwa hivyohivyo, na Hadi leo nimekuwa mtu wa kujitenga tuu nitakuwa na watu pale sehemu maalumu na kwa uhitaji, vinginevyo nakaa pekee angu na kikubwa zaidi sipendi mazoea na watu hasa jinsia yangu ya kiume. Marafiki zangu ni wasichana tyuuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PART TWO
Maisha yangu yanaenda hivyo hivyo najilazimisha kuchanganyika na washkaji kwa kujiforce na kupretend tu nina rafiki mshikaji wangu wa kiume mmoja tu na napendaga tukae naye tu tupige stor huwa sipendi marafiki wengi kwa kua sipo interested na masela nina huyo mshkaji mmoja tu wa kiume na ndo namchukulia km rafik yangu wa pekee wa kiume huyu mtu ananijua anajua mapungufu yangu na ananichukulia km ndugu yake kbs....huwa namuona km faraja yangu tu yaani rafik wa kiume peke yake

Ananivumilia mengi sana kutoka kwangu na huwa hayasemi kbs ni siri zangu anatunza tu na huwa hasemi popote hata tugombane vp huwa hasemi public tukiwa public au na washkaj hata km tulipishana au kugombana bas tutacheka tu pale ili watu wasijue kinachoendelea
Huwa namuomba mungu tubaki washkaji milele tusizinguane na nashukuru anaelewa hali yangu na ananifundisha jinsi ya kukabiliana na mazingira na jinsi ya kuishi na watu bila watu kujua mapungufu yangu au udhaifu...kupitia yeye nimeweza angalau nachanganyika na washkaji japo najilazimisha maana mara ya kwanza nilikua nikichanganyika siongei nasikiliza tu mazungumzo yaani nikiwa nae tu wawili ndo nitaongea na najihisi huru lakini akagundua akanambia niwe naongea na kuchangia mada nikawa naongea na kuchangia mada na kucheka na watu na kutaniana na washkaji influence yangu ikaongezeka hadi wana wakawa wananichukulia km msela wao wa muhimu ....
 
Hongera sanaaaah
 
For the longest time, nilidhani wewe ni mwanamke.
Jaribu kujichanganya na watu inasaidia sana, kuna mtu aliwahi kuniambia "Socialization is one way to stay sane in this world." Kujitenga na jamii kuna faida zake lakini hasara ni nyingi zaidi.
 
PART TWO
Maisha yangu yanaenda hivyo hivyo najilazimisha kuchanganyika na washkaji kwa kujiforce na kupretend tu nina rafiki mshikaji wangu wa kiume mmoja tu na napendaga tukae naye tu tupige stor huwa sipendi marafiki wengi kwa kua sipo interested na masela nina huyo mshkaji mmoja tu wa kiume na ndo namchukulia km rafik yangu wa pekee wa kiume huyu mtu ananijua anajua mapungufu yangu na ananichukulia km ndugu yake kbs....huwa namuona km faraja yangu tu yaani rafik wa kiume peke yake

Ananivumilia mengi sana kutoka kwangu na huwa hayasemi kbs ni siri zangu anatunza tu na huwa hasemi popote hata tugombane vp huwa hasemi public tukiwa public au na washkaj hata km tulipishana au kugombana bas tutacheka tu pale ili watu wasijue kinachoendelea
Huwa namuomba mungu tubaki washkaji milele tusizinguane na nashukuru anaelewa hali yangu na ananifundisha jinsi ya kukabiliana na mazingira na jinsi ya kuishi na watu bila watu kujua mapungufu yangu au udhaifu...kupitia yeye nimeweza angalau nachanganyika na washkaji japo najilazimisha maana mara ya kwanza nilikua nikichanganyika siongei nasikiliza tu mazungumzo yaani nikiwa nae tu wawili ndo nitaongea na najihisi huru lakini akagundua akanambia niwe naongea na kuchangia mada nikawa naongea na kuchangia mada na kucheka na watu na kutaniana na washkaji influence yangu ikaongezeka hadi wana wakawa wananichukulia km msela wao wa muhimu ....
Mkuu jaribu kuishi kwennye leo. Mambo ya uonevu utotoni yana madhara sana. Jaribu kutafuta mtu wa psychology kwa ushauri zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom