Rafiki yako usimuamini hata kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki yako usimuamini hata kidogo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 27, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,213
  Likes Received: 4,012
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Shemeji shemeji huku wazima Taa.......Mkuu Boflo...........................................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah!! unapenda mtu ambaye mawazo yake yapo kwa mwingine.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,213
  Likes Received: 4,012
  Trophy Points: 280
  Mkuu BIG Banned Mpende akupendae hiyo ipo kwa watu wote unaweza kumpenda Mtu kumbe yeye hakupendi wewe anampenda mtu Mwengine.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  To love someone who is not loving you is like waiting the ship at the airport
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,213
  Likes Received: 4,012
  Trophy Points: 280
  Ninauliza Swali je utajuaje kuwa huyo mpenzi wako hakupendi anampenda rafiki yako wakati hajawahi kukuonyesha kuwa anampenda rafiki yako?Ninaomba jibu kutoka kwako mkuu Boflo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,395
  Likes Received: 1,029
  Trophy Points: 280
  hapa na hivi ni asbh ngoja wala uchambuzi nianze kuufanya bure nsije nipnda nyasi kibaruani
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,213
  Likes Received: 4,012
  Trophy Points: 280
  Good Morning my Teacher? i hope your fine............. are u there? gfsonwin
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  dah , yaani wamu-hug halafu kwa nyuma anamkiss mwingine...!!! kungekuwa na kioo kwa mbele nikaona... dah ningevunja mtu...!!!
   
 9. sister

  sister JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 8,702
  Likes Received: 3,300
  Trophy Points: 280
  sasa ungemvunja nani ? mwanamke au mwanaume?
   
 10. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  kwanza ningevunja mwanamke, coz she is the one who let it, akaunyoosha mdomo wake yule mwanaume akaupokea,

  asingekubali kukisiwa yule mwanaume asingemkis...!!
   
 11. sister

  sister JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 8,702
  Likes Received: 3,300
  Trophy Points: 280
  kwa situation kama hiyo..........mimi ningewavunja wote.
   
 12. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  kuwavunja wote kwa wakati mmoja nitashindwa vunja hata mmoja coz watanikimbia,

  hapo ni kukamata mmoja mwingine ningemtafuta tu,

  nothing is sad like being deceived with some one you trust the most,
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Duh hii mbaya sana
  Na kweli MziziMkavu usimuamini sana rafiki yako maana wengi wao ni wanafiki na wana upendo wa kinafiki
  Wengi wao huwa kuna wanalolitafuta kwako na wakilipata hawana haja na urafiki huo
   
 14. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,516
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Kizuri kula na nduguyo yaheee....mbona nchoyo hivo.
   
 15. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mapenzi hayana formula...and its puzzle ambayo very few get to understand.
   
Loading...