Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Habari zenu humu ndani... mi mwenzenu ninatoka Na mme wa mtu ndo mbaba WANGU Na ananiweka mjini mwaka sasa.. kuna kipindi cha nyuma tulienda zetu huko sehem ya mbali kidogo kubadilisha hali ya hewa. Sasa akanitambulisha kwa rafiki zake ambao walikua wakifanya kazi pamoja ila baadae wakatenganishwa.
Kijana mmoja akaonesha kama kanizimia mana alivokuja akanisalimia akanishika mkono kama shemeji ake .
Sasa tukakutana gafla siku nyingine tukapeana namba. Sasa kijana akanipenda tangu ile siku kiukwel nilipomuona pia nilijikuta navutiwa nae. Basi tumewasiliana Na nampenda Na tumepanga mikakati mingi Na soon tunataka tukatambulishane ili mwakani mungu akipenda tuoane.. MTIHANI UNAKUJA HAPA. mchepuko ananipenda mpaka basi Na hii ni kutokana tunaheshimiana Na naiheshimu familia yake.Je naanzaje kumwambia huyu mtu??? Na mi najua hatoweza nioa kwa mara ya pili,Na mi kijana tumeelewana vema.
Ebu wenye upeo wanipe mawazo Na ushauri jinsi ya kumwambia huyu baba pia nahitaji maneno ya busara maana asije akafa kwa presha.
Wale mliozoea kutukana sihitaji comments zenu Za matusi... muwe wastaarabu kwani hakuna asiejua kwamba kuna kuchepuka au kutembea Na mke au mme wa mtu.. huwezi kushauri pita tuu kwa ustaarabu.
Karibuni kwa msaada

Iliwahi kuenda kwa mganga mpaka akupende hivyo? Taabu ya kuzoeana sana na mchepuko ndio hii, mara dear, mara darling ndio taabu yake mnazoeana mpaka mnakuwa na strong feelings. Mchepuko alitakiwa akuambie toka mwanzo kuwa ukipata mwenza umfahamishe, hakukwambia? Mchepuko anatakiwa apate chat history yako ikionesha una mahusiano mengine ndio uanzie hapo.
 
ukweli ni mchungu siku zote... ila kiukweli wewe unatakiwa kuwa makini mawili yaweza tokea jamaa akakuoa lakini msiwe happy akiamini wewe ulizoea vya kunyonga hata ukiwa uanalalamika kitu halisi yeye atakuona sababu ulizoea vya kunyonga,,, pili jamaa anaweza kuwa kewli anakupenda mkaishi maisha bora,,,,,,,,,, jamaa anaweza kuona kama uliweza tambulishwa as rafiki ukamzunguka mzee kwa yeye ana nini usimzunguke ....

mzee wa watu mwambie mimi natakakuendeea na maisha yangu naona sasa ni muda muafaka wa kuendelea na maisha yangu na kata mawasiliano over,.. hawezi kufa kwa presha sababu hakupendi anapenda familia yake ndiyo maana anakupiga marufuku kuingia familia yake .. wewe alikuwa anabadilisha ladha tu ,,,,,,, ila kama hela anayo unaweza amua kuolewa ukavumilie au uendelee na mzee uendelee kunyonga
Ushauri wako unanifanya nikupende zaidi Miss chagga.
 
Kijana atakuletea matatizo mbeleni,,hutaishi kwa amani na huyo kijana,olewa na mtu . Asiyejua mchepuko wako,, maana siku ukichelewa kwenye mambo ya kazi atasema ulikuwa ka mbaba wako
 
That is called acting! Una umri gani? Inaelekea una uelewa mdogo sana na wanaume. Kama unaamini anakupenda kwa dhati, its well and good,ila kama likitokea la kutokea,usisite kutuletea mrejesho hapa au just be kind to PM me ili nijue au kukupa angalau ushauri. Mimi ni mwanaume, najua nachokisema maana najua tulivyo na hiyo situation uliyomo si ngeni.
Usijari
 
hapo kwenye bold ni indicator moja kubwa kuwa anakudanganya.... yaani wife material wakati anajua kuwa unatoka na mme wa mtu?? hapana aisee
Katika kutafta mke Au mume huwezi kupata mkamilifu maana Na yey pia yaezekana katembea hata na mke wa mtu ishu ni kuheshimiana tuu na kufanya maisha
 
HAHA USI

JALINDUGU NDIO JF HII...VUMILIA TU YOTE....MI HALIPO TENALABDA NISEME KUWA OPPORTUIST ALIYE MAKINI..PIA JIULIZE UNATAKA NINI KATIKAMAISHA YAKO....KUWA MCHEPUKO MPAKA LINI......PIA JUA ANAWEAKUWAANATAMANI PIA...SO SOMETIMESFACE THE RESULTS THEN JIPANGE TENA
Okeee ila anahitaji mwanamke mwenye forcus Na upeo wa kuwaza Na atkaekua msaada kwake
 
..na asipoangalia hawa jamaa watapasiana 'mpira' akija kushtuka wamempitia wote. Wanaume wana mambo sana. Sijui kama yupo mwanaume anaweza chukua binti huku akijua kabisa anatoka na mume wa mtu na kusema kabisa "wewe ni wife material'', huo ni usanii wa hali ya juu jamaa anataka kuonyesha.

exceptional lady, usichukie kuona comments zilizo tofauti na hisia zako. Ni bora kujua pande zote ili ujue jinsi ya kujinasua.
Oh yeah thanx naelewa huwezi ukapata kila kitu in a positive way there must me negativity inside
 
Kijana atakuletea matatizo mbeleni,,hutaishi kwa amani na huyo kijana,olewa na mtu . Asiyejua mchepuko wako,, maana siku ukichelewa kwenye mambo ya kazi atasema ulikuwa ka mbaba wako
Duh... hilo nalo nenooo
 
Iliwahi kuenda kwa mganga mpaka akupende hivyo? Taabu ya kuzoeana sana na mchepuko ndio hii, mara dear, mara darling ndio taabu yake mnazoeana mpaka mnakuwa na strong feelings. Mchepuko alitakiwa akuambie toka mwanzo kuwa ukipata mwenza umfahamishe, hakukwambia? Mchepuko anatakiwa apate chat history yako ikionesha una mahusiano mengine ndio uanzie hapo.
Sina malezi au vishawishi vya waganga.. kumpenda mtu sio lazima akuloge just bcoz mna match ndo mnajikuta mnafall
 
Kama kweli anataka kufungandoa na ww kheri.
Lakini swali ni je hyo ndoa itakua na amani sikuzote hasa pale mtakapokosana mana anajua ulikua na nani so hautakua na jipya kwake
 
Kama kweli anataka kufungandoa na ww kheri.
Lakini swali ni je hyo ndoa itakua na amani sikuzote hasa pale mtakapokosana mana anajua ulikua na nani so hautakua na jipya kwake
Mkuu hiyo mistari miwili ya mwisho nimhimu sana kwa uamzi atakaochukuwa.
 
Je, ni huyu apa??? Nataka kukusaidia kitu.
 

Attachments

  • IMG_20160906_162502.JPG
    IMG_20160906_162502.JPG
    47.2 KB · Views: 37
  • IMG_20160906_162523.JPG
    IMG_20160906_162523.JPG
    30 KB · Views: 27
Back
Top Bottom