Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

ukweli ni mchungu siku zote... ila kiukweli wewe unatakiwa kuwa makini mawili yaweza tokea jamaa akakuoa lakini msiwe happy akiamini wewe ulizoea vya kunyonga hata ukiwa uanalalamika kitu halisi yeye atakuona sababu ulizoea vya kunyonga,,, pili jamaa anaweza kuwa kewli anakupenda mkaishi maisha bora,,,,,,,,,, jamaa anaweza kuona kama uliweza tambulishwa as rafiki ukamzunguka mzee kwa yeye ana nini usimzunguke ....

mzee wa watu mwambie mimi natakakuendeea na maisha yangu naona sasa ni muda muafaka wa kuendelea na maisha yangu na kata mawasiliano over,.. hawezi kufa kwa presha sababu hakupendi anapenda familia yake ndiyo maana anakupiga marufuku kuingia familia yake .. wewe alikuwa anabadilisha ladha tu ,,,,,,, ila kama hela anayo unaweza amua kuolewa ukavumilie au uendelee na mzee uendelee kunyonga
 
WOMEN DONT THINK AND WHEN THEY THINK THEY DONT MAKE GOOD DECISION MOST OF THE TIME.......................LIFE GOES ON
m
emojii.jpg
 
Acha kujidanganya, usidhani mwanaume anaweza kuwa kauzu kwa rafiki yake kirahisirahisi na kukuoa wewe wakati wana historia. Huyo anataka kukufunua na kukubwaga au kuwa na wewe kwa siri akikutumia au kukubwaga mara tu atakapokutumia. Na hili linaweza kutokea wakati yeye akiwa hata hajapanga au kudhamiria isipokuwa baada tu ya kumaliza ashki zake, akili yake itamkaa sawa na kukuona wa kawaida maana hata ahadi anazotoa sasa zinaendeshwa na kichwa cha chini. Hutaamini. Mark my words!
 
I will prove u wrong... kama ni kichwa cha chini nimekaa kwake siku mbili na nilikua nalala Na night dress hata kunigusa walaa alisema hana haraka so hapo nakupinga mkuu.. angesha nivua ilesiku
 
katika maisha kuna aina mbali mbali za binaadamu ambao Mungu hukukutanisha nao ili kukukamilishia kukomaa ki akili. kuwa makini na huyo mpenzi mpya maana wanaume huwa tunatabia ya kutamani vitu vilivyoundwa na wenzetu. kama huo mchepuko wako ni muislamu mwambie akuoe....usimpe nyapu huyo mpenzi mpya maana anaweza akawa ametumwa na huo mchepuko wako. jirizishe kwa umakini kabla hujafanya maamuzi magumu. NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUPITISHE SALAMA KATIKA HILO JARIBU... maana kwa mbali naona kuna kukosa vyote ama kumpata mume.
Hivi hapo kuna HASARA gani ya kukosa vyoote ikiwa alikuwa na MUME wa mtu, Je aendelee na mume wa mtu au amkose jamaa aendelee na dhambi ya kutembea na Mume wa mtu?
 
I will prove u wrong... kama ni kichwa cha chini nimekaa kwake siku mbili na nilikua nalala Na night dress hata kunigusa walaa alisema hana haraka so hapo nakupinga mkuu.. angesha nivua ilesiku
SISI wanaume tuacheni kama tulivyo, hata mimi naweza nikalala na wewe wiki nisifanye chochote ili mradi nikumanipulate tu na uhisi nina nia kubwa sana na wewe, afterall nakuachia stress zisizokuwa na dawa ya haraka.

B'careful'..!
 
Yaani kwa mtu mwenye kifikiri mbali huyo kijana ni bwege mtozeni. Anajua wewe una uwezo wa kuingilia ndoa ya mke mwenzio kwa nin hata akikuoa asiwaze mbali kuwa kwa vyovyote wewe utaona kuwa na mchepuko kwako ni jambo rahisi? Swali la pili akikutana na huyo mzee atamchukuliaje?
 
I will prove u wrong... kama ni kichwa cha chini nimekaa kwake siku mbili na nilikua nalala Na night dress hata kunigusa walaa alisema hana haraka so hapo nakupinga mkuu.. angesha nivua ilesiku
That is called acting! Una umri gani? Inaelekea una uelewa mdogo sana na wanaume. Kama unaamini anakupenda kwa dhati, its well and good,ila kama likitokea la kutokea,usisite kutuletea mrejesho hapa au just be kind to PM me ili nijue au kukupa angalau ushauri. Mimi ni mwanaume, najua nachokisema maana najua tulivyo na hiyo situation uliyomo si ngeni.
 
Hapana kanizuia kuonana Na babu Na hajui kama naonana nae coz tumetofautiana maeneo ya kuishi mi Na huyu baba tupo mkoa mmoja yeye yupo nje kidooogo

mhm...hapo usanii tuu. sasa kumbe bado unagegedana na babu. wala msidanganyane masuala ya ndoa. nyie gegedaneni tuu
 
achana na mchepuko wewe utaangukia pua ojooo
 
Kwahiyo huyo Kijana hanaga ushemeji! Sasa sijui na yeye akikutambulisha kwa rafiki zake sijui itakuwaje.

Hili swali zuri sana, Mwanamke hapo hamna. Hapo ni mwendo wa kuliwa na marafiki wa Bwana zake tu.
Mwenyewe kaandika thread hii hata Baridi haoni.
 
Tena mpaka leo anasema namshukuru sana mr. X kwan bila yeye nisingepata wife material I was looking for
hapo kwenye bold ni indicator moja kubwa kuwa anakudanganya.... yaani wife material wakati anajua kuwa unatoka na mme wa mtu?? hapana aisee
 
Naona woga wako ulipo. Je, unaweza kuishi kwa kujitegemea bila mwanaume yoyote kwa sasa?

*Kama jibu ni ndio, unaweza kutumia lugha nzuri kumueleza huyo mzee nia yako ya kuangalia maisha mengine, as unaweza kujihudumia mwenyewe wakati unajipanga na huyo kijana.

*Kama jibu lako ni hapana (kuwa huna kipato), na kuwa unamtegemea huyo babu 100% kuishi then you gotta be very strategic. Unaweza kumtosa babu, jamaa nae akakutosa, sijui utangukia wapi.

Angalizo; Kuwa makini sana, huyo kijana aweza kukutumia tu na kukuacha pia. Anajua amekupataje, kukuacha haitakuwa tabu sana.
 
HAHA USI
Haya karibu kulitoa... alafu tatizo sio kujihami mkuu mood ndo sheedah
JALINDUGU NDIO JF HII...VUMILIA TU YOTE....MI HALIPO TENALABDA NISEME KUWA OPPORTUIST ALIYE MAKINI..PIA JIULIZE UNATAKA NINI KATIKAMAISHA YAKO....KUWA MCHEPUKO MPAKA LINI......PIA JUA ANAWEAKUWAANATAMANI PIA...SO SOMETIMESFACE THE RESULTS THEN JIPANGE TENA
 
Acha kujidanganya, usidhani mwanaume anaweza kuwa kauzu kwa rafiki yake kirahisirahisi na kukuoa wewe wakati wana historia. Huyo anataka kukufunua na kukubwaga au kuwa na wewe kwa siri akikutumia au kukubwaga mara tu atakapokutumia. Na hili linaweza kutokea wakati yeye akiwa hata hajapanga au kudhamiria isipokuwa baada tu ya kumaliza ashki zake, akili yake itamkaa sawa na kukuona wa kawaida maana hata ahadi anazotoa sasa zinaendeshwa na kichwa cha chini. Hutaamini. Mark my words!
Nina hisia kama zako. Mara nyingi kuchukua mpenzi wa rafiki inaleta mwisho mbaya tu. Huyu jamaa kuna kitu anataka kuharibu na kuondoka, she has to be smart, otherwise anaweza kupoteza kotekote.
 
Hili swali zuri sana, Mwanamke hapo hamna. Hapo ni mwendo wa kuliwa na marafiki wa Bwana zake tu.
Mwenyewe kaandika thread hii hata Baridi haoni.

..na asipoangalia hawa jamaa watapasiana 'mpira' akija kushtuka wamempitia wote. Wanaume wana mambo sana. Sijui kama yupo mwanaume anaweza chukua binti huku akijua kabisa anatoka na mume wa mtu na kusema kabisa "wewe ni wife material'', huo ni usanii wa hali ya juu jamaa anataka kuonyesha.

exceptional lady, usichukie kuona comments zilizo tofauti na hisia zako. Ni bora kujua pande zote ili ujue jinsi ya kujinasua.
 
Nina hisia kama zako. Mara nyingi kuchukua mpenzi wa rafiki inaleta mwisho mbaya tu. Huyu jamaa kuna kitu anataka kuharibu na kuondoka, she has to be smart, otherwise anaweza kupoteza kotekote.
Tatizo the lady thinks she is very smart and knows all about men. Mwanaume hata kama hana akili, hawezi kuoa katika mazingira kama hayo. Huyu atarudi humu na machozi
 
utaish kama mchepuko mpaka lin? anzisha maisha yako upya na huyo kijana acha ktumika kama tambara la deki
 
Back
Top Bottom