Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Huyo kijana ni muoaji wa kweli? Asijekua anataka kumkomoa rafiki yake kupitia wewe.

Mzee anafamilia yake na hatokaa aiache, ataumia sana ukimweleza habari za kuolewa kwako uzuri binadamu tumeumbiwa kusahau, atasahau. Nnachokuhakikishia haitakua rahisi kusitisha mahusiano yenu na msipokua makini utaolewa na bado utaendelea na huyo baba. Fanya maamuzi yatakayokusaidia wewe sasa na baadae.
Sawa nimekuelewa sas huyu baba namwambiaje??? Au namueka katika mazingira gani???
 
12 mpaka 18 miezi inatosha ukikosea kuolewa/kuoa umefeli maisha
 
Hongera kwa kupata mume... Maadam mwenyezi Mungu keshakupatia wako, achana na mume wa mtu. Muujiza kama huo haujagi mara mbili... You need to move on and build your own family... Cha muhimu usimuoneshee dharau. Muite umshukuru kwa kukulea na kukuweka mjini kwa zaidi ya mwaka, pia mshukuru kwa kuwa kama daraja la kukutanisha na mumeo mtarajiwa... Mwambie kama atahitaji mchepuko mwingine unaweza kumtafutia mtu wa kuku replace lakini kuanzia sasa inabidi muheshimiane kama mashemeji. Ukitumia lugha nzuri kumueleza atakuelewa tu coz mtoto mzuri kama wewe huwezi kuwa mchepuko for life...
Thanks alooot umenikosha
 
Thanks alooot... umenikoshaa
 
With all due respect, huyo kijana sio muoaji bali ni muonjaji tu.
Anajua unatoka na mfanyakazi mwenzake na yeye anatangaza kukupenda tena anataka mpaka uwe mke?!
Fanya maamuzi taratibu kabla ya kumpa babu mkono wa kwaheri.
Hua namuulizaga maswali fulani., Na majibu anayonipa ni kwamba ameona mimi nitamfaa,Na kwann niendelee kukaa Na Mr X wakati hatutatimiza agano la mungu??? Na huwezi amini sijawahi muonjesha hata siku moja.Na nilikaa nae takriban siku 2 tulikua tukipanga mipango yetu Na hakua Na tamaa Na mimi mpka naondoka Na akanisindikiza wala chupi hajaigusa Na nauli ya kutosha kanipa.. Na alikua Na amani tuu alidai hana haraka.
 
Mi ni mmoja wa wale wa coment za matusi ila leo yemeniishia ngoja nikupe ushauri mzuri

Kwanza kabisa hongera kwa kumpata mtu ambaye manaelewana na mnamalengo hiyo ndio hatua ya kwanza kabisa kufikia kitu kinachoitwa NDOA
Pili ongera kwa kujitambua thamani yako

Tatu hapa ndipo unapoa paswa kusimama lazima umwambie ukweli tena mapema ili uanze kujiandaa kuingia ndoani
 
Mwambie babu aongee na mke wake...kuhusu kuongeza mke wa pili. Mke wake akikataa basi wewe mwambie unataka kuolewa hivyo ni vizuri kuheshimu maamuzi. Naimani babu kama anania atatangaza na wewe uwe tayari kuwa 2nd Lady wa babu.
 
{Kama wewe ni muumini mzuri wa dini}

Kabla hujafunga ndoa na huyo kijana nenda katubu dhambi ya uzinzi na mume wa mtu na kupima afya yako .

Then Kaa uongee nae huyo mume wa mtu ana malengo gani na wewe {kama si muislam}, na nini hatma yako katika mahusiano, kisha muweke wazi kuwa unahitaji ndoa halali ili maisha yako yaende salama.
Ukishaita mme wa mtu means hawezi oa tena Na yeye ni mkristu. Hapo hakuna malengo kabisaa ila yeye kuna kipindi alidai anataka anioe tena ila ndoa ya kichini chini ilimradi asinipoteze. Nikamwambia haitowezekana utaficha leo kesho itajulikana. Na itani cost ndo mwanzo wa kulogana. Akashikwa Na mi butwaa. Yaan ananitaka Na hataki kunipoteza Na mwezi ujao alikua anataka anipangie nyumba Na kunifungulia biashara yaani mmh
 
ukweli ni mchungu siku zote... ila kiukweli wewe unatakiwa kuwa makini mawili yaweza tokea jamaa akakuoa lakini msiwe happy akiamini wewe ulizoea vya kunyonga hata ukiwa uanalalamika kitu halisi yeye atakuona sababu ulizoea vya kunyonga,,, pili jamaa anaweza kuwa kewli anakupenda mkaishi maisha bora,,,,,,,,,, jamaa anaweza kuona kama uliweza tambulishwa as rafiki ukamzunguka mzee kwa yeye ana nini usimzunguke ....

mzee wa watu mwambie mimi natakakuendeea na maisha yangu naona sasa ni muda muafaka wa kuendelea na maisha yangu na kata mawasiliano over,.. hawezi kufa kwa presha sababu hakupendi anapenda familia yake ndiyo maana anakupiga marufuku kuingia familia yake .. wewe alikuwa anabadilisha ladha tu ,,,,,,, ila kama hela anayo unaweza amua kuolewa ukavumilie au uendelee na mzee uendelee kunyonga
 
Mi ni mmoja wa wale wa coment za matusi ila leo yemeniishia ngoja nikupe ushauri mzuri

Kwanza kabisa hongera kwa kumpata mtu ambaye manaelewana na mnamalengo hiyo ndio hatua ya kwanza kabisa kufikia kitu kinachoitwa NDOA
Pili ongera kwa kujitambua thamani yako

Tatu hapa ndipo unapoa paswa kusimama lazima umwambie ukweli tena mapema ili uanze kujiandaa kuingia ndoani
Asante kwa kuniheshim mkuu Na kutokutoa matusi thanx.. ishu nipe hints namuanzaje au nimtafute mtu wa kumueleza,au nimwambie huyu rafiki ake akamwambie au nafanyaje???
 
Mwambie babu aongee na mke wake...kuhusu kuongeza mke wa pili. Mke wake akikataa basi wewe mwambie unataka kuolewa hivyo ni vizuri kuheshimu maamuzi. Naimani babu kama anania atatangaza na wewe uwe tayari kuwa 2nd Lady wa babu.
Mkristo haoi mke zaid ya mmoja
 
Asante kwa kuniheshim mkuu Na kutokutoa matusi thanx.. ishu nipe hints namuanzaje au nimtafute mtu wa kumueleza,au nimwambie huyu rafiki ake akamwambie au nafanyaje???
Anza tu kumuuliza ki utani hiv siku nikipata mmtu itakuwaje

Muulize nini mwisho wa mausianao yetu
 
Back
Top Bottom