Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Tena mpaka leo anasema namshukuru sana mr. X kwan bila yeye nisingepata wife material I was looking for
Jamaa lako lina moyo sana. Halijui mahawara huwa hawaachani???

Usihofu kumwambia mchepuko wako... kwa sababu hata ukiolewa utaendelea kuchepuka naye tu.
 
Habari zenu humu ndani,

Mimi mwenzenu ninatoka na mume wa mtu ndo mbaba wangu na ananiweka mjini mwaka sasa, kuna kipindi cha nyuma tulienda zetu huko sehemu ya mbali kidogo kubadilisha hali ya hewa.

Sasa akanitambulisha kwa rafiki zake ambao walikuwa wakifanya kazi pamoja, ila baadae wakatenganishwa. Kijana mmoja akaonyesha kama kanizimia mana alivyokuja akanisalimia akanishika mkono kama shemeji yake.

Sasa tukakutana ghafla siku nyingine tukapeana namba. Sasa kijana akanipenda tangu ile siku kiukweli nilipomuona pia nilijikuta navutiwa nae. Basi tumewasiliana na nampenda na tumepanga mikakati mingi na soon tunataka tukatambulishane ili mwakani Mungu akipenda tuoane.

MTIHANI UNAKUJA HAPA. Mchepuko ananipenda mpaka basi na hii ni kutokana tunaheshimiana na naiheshimu familia yake. Je naanzaje kumwambia huyu mtu? Na mi najua hatoweza kunioa kwa mara ya pili, na mi kijana tumeelewana vyema.

Ebu wenye upeo wanipe mawazo na ushauri jinsi ya kumwambia huyu baba pia nahitaji maneno ya busara maana asije akafa kwa presha.

Wale mliozoea kutukana sihitaji comments zenu za matusi, muwe wastaarabu kwani hakuna asiejua kwamba kuna kuchepuka au kutembea na mke au mume wa mtu huwezi kushauri pita tu kwa ustaarabu.

Karibuni kwa msaada
Aysee we balaa kwa michepuko..unauchepuka mpka mchekupo !!!
 
na uzee waja kasi shoga weee.. na mzee akikuona umekuwa mzee mwenzie anakuweka kando anavuta kabinti kabichi kingine wakati huo kakuacha vyema sana kakuachia kamtoto na kanyumba nadni ya miaka kumi hakina hadhi tena ..
Uzee mjini sio Dili watu wanataka nyonga mbichiii
 
ceptional lady, post: 17507261, member: 332246"]Hua namuulizaga maswali fulani., Na majibu anayonipa ni kwamba ameona mimi nitamfaa,Na kwann niendelee kukaa Na Mr X wakati hatutatimiza agano la mungu??? Na huwezi amini sijawahi muonjesha hata siku moja.Na nilikaa nae takriban siku 2 tulikua tukipanga mipango yetu Na hakua Na tamaa Na mimi mpka naondoka Na akanisindikiza wala chupi hajaigusa Na nauli ya kutosha kanipa.. Na alikua Na amani tuu alidai hana haraka.[/QUOTE]
Best fanya
I will prove u wrong... kama ni kichwa cha chini nimekaa kwake siku mbili na nilikua nalala Na night dress hata kunigusa walaa alisema hana haraka so hapo nakupinga mkuu.. angesha nivua ilesiku
Bahati haiji mara 2 olewa
 
Habari zenu humu ndani,

Mimi mwenzenu ninatoka na mume wa mtu ndo mbaba wangu na ananiweka mjini mwaka sasa, kuna kipindi cha nyuma tulienda zetu huko sehemu ya mbali kidogo kubadilisha hali ya hewa.

Sasa akanitambulisha kwa rafiki zake ambao walikuwa wakifanya kazi pamoja, ila baadae wakatenganishwa. Kijana mmoja akaonyesha kama kanizimia mana alivyokuja akanisalimia akanishika mkono kama shemeji yake.

Sasa tukakutana ghafla siku nyingine tukapeana namba. Sasa kijana akanipenda tangu ile siku kiukweli nilipomuona pia nilijikuta navutiwa nae. Basi tumewasiliana na nampenda na tumepanga mikakati mingi na soon tunataka tukatambulishane ili mwakani Mungu akipenda tuoane.

MTIHANI UNAKUJA HAPA. Mchepuko ananipenda mpaka basi na hii ni kutokana tunaheshimiana na naiheshimu familia yake. Je naanzaje kumwambia huyu mtu? Na mi najua hatoweza kunioa kwa mara ya pili, na mi kijana tumeelewana vyema.

Ebu wenye upeo wanipe mawazo na ushauri jinsi ya kumwambia huyu baba pia nahitaji maneno ya busara maana asije akafa kwa presha.

Wale mliozoea kutukana sihitaji comments zenu za matusi, muwe wastaarabu kwani hakuna asiejua kwamba kuna kuchepuka au kutembea na mke au mume wa mtu huwezi kushauri pita tu kwa ustaarabu.

Karibuni kwa msaada
Angekuwa anakupenda angekuwa amekuoa, tupa kule hilo baba lisilothamini ndoa yake
 
Exceptional lady

Hongera kwa kujitoa kimasomaso kuelezea yako ya moyoni. Nikizingatia saikolojia na uzoefu wa mahusiano jibu kwako ni dogo sana: HAKUNA MWALIMU wala FUNDI wa Mapenzi. Mpaka unapouliza hapa ni wazi upo njia panda. Mtu sahihi wa kukupa jibu stahili ni wewe mwenyewe. Hatua uliyofikia ni lazima utajiumiza mwenyewe, utamuumiza mbaba ama utamuumiza huyo kaka. Hivyo chagua mwenyewe nani apate maumivu ili mambo yako yaende. Maana mara zote unapojipata unalazimika kuchagua kununua ama "Masidisi Benzi" ama "BMW" mwisho wa siku utafikia hitimisho la ama kujipongeza, ama kujilaumu. Hivyo basi kwa kuzingatia mazingira ya mpito uliyomo, vema sasa uchague hali mpya itakayokupa mazingira ya kudumu (yanayotarajiwa).

Ukiachilia njia mbali mbali zinazopendekezwa utumie ili kufikisha ujumbe kwa mbaba kwa mfano kumwambia aongee na mkewe kwamba yeye mzee anataka kuoa mke wa pili, halafu mkewe akimkatali basi nawe umwambie unasonga mbele kusaka ndoa. Hii njia yaonekana ni muafaka. Lakini sio njia sahihi maana imeficha utapeli. Na mwisho wa siku maamuzi ya wewe kuolewa hayatokuwa maamuzi yako binafsi, bali maamuzi ya mke wa mbaba ama mbaba mwenyewe. Nisisitize tu kwamba nia ya kuolewa ni nia yako mwenyewe. Ni wewe mwenyewe unawajibika kujipambanua na kuamua kuolewa.

Hizi abracadabra za eti huyo mkaka atakuacha kwa vile amekutoa kwa mzee, na eti ndoa yako na huyo kaka itakuwa hewani hivyo uolewe na mtu asiyemjua Mr X, hizi nazo hazina ukweli wowote. Maana nahodha wa ndoa yako ni wewe na huyo kaka. Mnao uwezo wa kuijenga ama kuibomoa ndoa yenu. Uzuri kanuni na masharti ya ndoa ni universal, muhimu ni namna wewe Exceptional Lady na mume wako mtarajiwa mtaishi hizo kanuni universal za ndoa. Kwa mfano, zipo ndoa nyingi zilizovunjika ambazo bibi harusi hakuwa mchepuko wa Mr X ambaye alimtambulisha kwa mfanyakazi mwenzake.

Jambo la kuzingatia ni kwamba uamuzi wa kuolewa ama kuoa shurti uwe ni dhamira ya bibi na bwana harusi bila kuwa 'influenced" na third part i.e. wazazi, walezi, mchepuko wa zamani, fedha, mali etc. Nikimaanisha dhamira ya kufunga ndoa iwe ni dhamira iliyokusudia kuishi na mwenza wako kwa tabu na raha, uzima na magonjwa etc.

Nitumie fursa hii kukutakia kila la heri bi Exceptional Lady.
 
Thanx alot mkuu...nimekupata vilivyo.
I will do my best
 
I will prove u wrong... kama ni kichwa cha chini nimekaa kwake siku mbili na nilikua nalala Na night dress hata kunigusa walaa alisema hana haraka so hapo nakupinga mkuu.. angesha nivua ilesiku

Mimi nina pointi mbili:
1. Si rahisi mwanaume kulala na mwanamke chumba kimoja tena kwa uhuru asimtake kumzini, labda anaweza kuwa hanithi au ana tatizo kubwa ambalo analificha hadi ndoa ili uwe tayari mkewe. Hii inaweza kupelekea kuwa na ndoa yenye mgogoro.
2. Je ukiolewa naye na kisha kuona kuwa hakutoshelezi kingono utakuwa tayari kuvumilia? au utatafuta mchepuko kwa kurejea kwa babu au mtu mwingine nje ya ndoa?

Tafakari uamuzi unao mwenyewe.
 
We m test kwanza ,mwambie kuna mtu anataka kumuoa.
 
Okeee ila anahitaji mwanamke mwenye forcus Na upeo wa kuwaza Na atkaekua msaada kwake
kila mwanaume anataka hivonviseversa...smetimes inahitajoi ujaribu hapa ii umpate..maana ukijifungia ndani hutampata...hivoavumilie taratibu atampata one day...hiyo haizuii asiwe ana date
 
Akili yako kama mavi, mshenzi Mkubwa wewe babae unakuja kulalamika umekosa wa kukuoakukuoa
 
Manfongo Alisema Nga Nga Nga Imetight Kamba.
Hainaga Ushemela.
Watu Wamepita.
Ila Kama Ulikua Mchepuko Jiandae Na Wewe Kuletewa Mchepuko After Sometimes Na Usiwe Na Hasira Koz Utampenda Mumeo Na Kuheshimu Familia Yako Kama Wewe Ufanyavyo.
All The Best.
 
Wanaume wana njia nyingi ya kukupata,shv hawaji na staili ya pesa wala mali,wanakuja na staili ya ndoa wakijua shv kuna wimbi kubwa la wasichan tunao taka kuolewa,so kuwa makini kamwe mwanaume hagomban na mwanaum wenzake,hapo atakula mzigo then atasepa,kwanza lzm atafakar ikiwa ww una iba mume wa mtu,je akikuoa hutochepuka?hapo atakupotezea wkt wako,lzm atatafuta mwanamke mwingin ambaye ajawez kumsoma tabia km zako,au either amemsoma akajua huyu ndo wife material kuwa makini utakuja kumkumbuk ht huyo mzee anaye kuweka mjini..
 
{Kama wewe ni muumini mzuri wa dini}

Kabla hujafunga ndoa na huyo kijana nenda katubu dhambi ya uzinzi na mume wa mtu na kupima afya yako .

Then Kaa uongee nae huyo mume wa mtu ana malengo gani na wewe {kama si muislam}, na nini hatma yako katika mahusiano, kisha muweke wazi kuwa unahitaji ndoa halali ili maisha yako yaende salama.
Ni kweli kwa mwanaume wa kiislamu ni ngumu kujua kama ni uzinzi au anachumbia. kwani mara zote mume wa kiislamu anapofanya uzinzi atakwambia unajuaje kama nachumbia?
 
Back
Top Bottom