Rafiki wa kweli

Rafiki wa kweli

Mimi huwa sina na siwezi kuwa na urafiki na mwanamke ila naweza kuwa nae katika ushirika wa kibiashara...je naweza kukutafuta?
 
I beg to differ, kila kitu na mahali pake. Ukienda majukwaa tofauti utaona mada husika. Mfano, nenda sc & tech. na utaona watu wanajadili nothing but sc & tech. sasa huyu 100bytes ameleta urafiki wa kibiashara mahali sio pake. MMU is all about friendship and relationships...!

Natofautiana na wewe mkuu! hapo kuna 3 in 1 mahusiano,mapenzi na urafiki:so inawezekana ikawa ni mahusiano ya kibiashara, mahusiano ya kimapenzi au urafiki wa kibiashara. kwa uelewa wangu mdogo sioni tatizo la mimi kutumia jukwaa hili, na nililiona hili kabla sijapost hii thread! Ningepeleka Love connect ungekuwa na haki ya kuomba mwongozo kwa mhe. spika
 
Back
Top Bottom