Rafiki wa kufanya mazoezi anaitajika

Rafiki wa kufanya mazoezi anaitajika

Awe anaishi around Old Bagamoyo road anzia Mbezi tank bovu hadi Bunju
nimenenepa sana jamani hadi naamka nimechooka, jinsia yoyote
au naomba mwenye mawasiliano na jogging club ya mitaa hiyo.

Ahsanteni.


Update
Miss Curious nae anatafuta mtu wa Magomeni wa kufanya nae zoezi
Mazoezi tunafanyia kwako au kwangu?
 
IQ yako lazima iko below 70. Ni hivi ukifanya mazoezi halafu ukawa UNA KULAKULA hovyo, rudia kula kula mazoezi ni kazi bure. Ukiambiwa acha kula kula haina maana acha KULA. Hakuna binadamu anaeweza kuishi bila kula achilia mbali kufanya mazoezi bila kula. Nimeandika haya kwasababu IQ yako haiwezi kutofautisha KULA KULA na KULA.
Nilishawahi kupingana na huyo jamaa kuhusu kula na mazoezi.

Siku hiyo alikua anasapoti hiki unachokisapoti wewe, sijui leo nini kimemkumba.

Ila mimi naamini, uwe unakula kula au unakula matokeo ya mwisho huamuliwa na jinsi gani mazoezi yako unafanya.

Kama unafata diet kama inavyotakiwa lakini mazoezi unafanya kwa ulaini wiki nenda rudi utaujutia muda wako. Lakini kula kula ila train hardcore huku ukiseti goals na kuzifikia wewe utakua uko vizuri kuliko anayekula.
 
Nilisema kuwa mtoa mada kazidi unene, kg 98 sasa
 
Nilishawahi kupingana na huyo jamaa kuhusu kula na mazoezi.

Siku hiyo alikua anasapoti hiki unachokisapoti wewe, sijui leo nini kimemkumba.

Ila mimi naamini, uwe unakula kula au unakula matokeo ya mwisho huamuliwa na jinsi gani mazoezi yako unafanya.

Kama unafata diet kama inavyotakiwa lakini mazoezi unafanya kwa ulaini wiki nenda rudi utaujutia muda wako. Lakini kula kula ila train hardcore huku ukiseti goals na kuzifikia wewe utakua uko vizuri kuliko anayekula.
Hawa wanaokulakula hovyo ninaowazungumzia wengi vibonge. Mimi nikifanya mazoezi nakula hasa ila mwili mdogo, nafanya mazoezi kuwa fit.
Anaefanya kupunguza unene hastahili kulakula kwasababu adui yake wa kwanza ni chskula.
 
Awe anaishi around Old Bagamoyo road anzia Mbezi tank bovu hadi Bunju
nimenenepa sana jamani hadi naamka nimechooka, jinsia yoyote
au naomba mwenye mawasiliano na jogging club ya mitaa hiyo.

Ahsanteni.


Update
Miss Curious nae anatafuta mtu wa Magomeni wa kufanya nae zoezi
Mimi natafuta mtu wa kufanya nae mazoezi chumbani
 
Mbona tangi bovu kuna sehemu ya kufanyia mazoezi

Pale pembeni mwa standi ya kwenda mwenge
 
Back
Top Bottom