Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #21
niunganishe nao plsMbona Hapo Goigi Kuna Gym Kubwa Tu Tena Yakisasa Kabisaa Tena Ina Madada WaZur Na Mabody Bulder Wakutosha Mida Ya Jionii
niunganishe nao plsMbona Hapo Goigi Kuna Gym Kubwa Tu Tena Yakisasa Kabisaa Tena Ina Madada WaZur Na Mabody Bulder Wakutosha Mida Ya Jionii
Hapana ni strict mazoezi, pia nitatoa offer ya fresh juice/maziwa baada ya mazoezimmmh hapa nitaingizwa mjini live
sema kweliHapana ni strict mazoezi, pia nitatoa offer ya fresh juice/maziwa baada ya mazoezi
Uhakika Misssema kweli
Taja na gharama zake kwa mwezi na kwa sikuMbona Hapo Goigi Kuna Gym Kubwa Tu Tena Yakisasa Kabisaa Tena Ina Madada WaZur Na Mabody Bulder Wakutosha Mida Ya Jionii
hela ya gym sina bna aaahTaja na gharama zake kwa mwezi na kwa siku
Hizo za kulipia achana nazo, nifuate mimi tuna jogg halafu nakupigisha work out nzuri utakuwa fitm/wepesihela ya gym sina bna aaah
anakaa kisiwani yule mi niko bara@RrondoKuna mtu Jana kaandika humu ameanza mazoezi Fanya nae mawasiliano msaidiane.
yaani naamka kama nilikuwa nalima vile.uzito sio mzuri mami tutazeeka mapema.toa location nieke update pale juu na wewe upate mtuShost ningekuunga mkono ila location ndio kikwazo kumbe ndio maana nakuwa mzito kuamka early in the morning mana mm bila alarm nachelewa job
Yes,
Ngoja na mm niwatafute wa karb yangu mkuje huku tukimbie kimbie.
ahaaaa poaHivi miss mbona huletagi mirejesho ukiwapata nakumbuka rafiki uliyemtafuta wa kusafiri nae leo wa mazoezi ukipata utuambie na sisi tutafute dear
.yaani naamka kama nilikuwa nalima vile.uzito sio mzuri mami tutazeeka mapema.toa location nieke update pale juu na wewe upate mtu
Duuu hahaaMiss Curious wewe uko pande zipi nije tukimbie kimbie
Agata vipi tenaDuuu hahaa
Kama nawaona vile vibonge wawili mnakimbia kimbiaAgata vipi tena