Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #41
sina hela mkuu gym zipo kila mahali.kwani nimesema natafuta gym?Teget mbyuni na salasala amna GYM kabisa?
sina hela mkuu gym zipo kila mahali.kwani nimesema natafuta gym?Teget mbyuni na salasala amna GYM kabisa?
sina hela mkuu gym zipo kila mahali.kwani nimesema natafuta gym?
Unajitafutia balaa. Gudume anaishi maeneo hayo
sawa tu sichagui sibagui
Hili jamaa hili kudadekinipo hapa nambie dada yangu. tuonane wapi leo jioni au usiku kwa ajili ya mazoezi ntahakikisha unapunza uzito tukikutana kwa week mfululizo. na unaonaje tukipima kabisa ili tunapofanya tuwe na uhakika wa afya zetu.
Halafu linaweza kukubaliwaHili jamaa hili kudadeki
lipe tu liserebuke.Halafu linaweza kukubaliwa
Usipoacha kula kula mazoezi ni kazi bure....unaunguza kalori 200 halafu unakula kalori 800!awe anaishi around old bagamoyo road anzia mbezi tank bovu hadi bunju
nimenenepa sana jamani hadi naamka nimechooka.
asanteni.
jinsia yoyote
au naomba mwenye mawasiliano na jogging club ya mitaa hyo
update
Miss Curious nae anatafuta mtu wa magomeni wa kufanya nae zoezi
SaaanaNahamia hapo karibia na Puma, vipi itapendeza?
Huwezi msaidia miss natafuta? Maana wewe ndio gwiji wa mazoeziJana kuna mtu kadai ameanza mwaka na mazoezi leo mtu mwingine ameyaanza mazoezi, wengine msingoje sana.
Mazoezi ni kokote, anza kwa kuhakikisha ukiwa unahema mapafu yako yanaipata pumzi. Usiheme kibrazameni ili tumbo lisionekane linainuka
Kama hujui maana ya KULA KULA siku ingine usisumbuke ku-quote post yangu.Yaani ufanye mazoezi halafu usile wewe unayajua mazoez au unanyoosha viungo tu, au sijakuelewa kulakula unamaanisha wala kila muda..... Ila hakuna mtu anayekula kama mfanya mazoezi, zoezi sio kazi ya kitoto mzee baba
Hanijui huyu jamaaKama hujui maana ya KULA KULA siku ingine usisumbuke ku-quote post yangu.
Hizo za kulipia achana nazo, nifuate mimi tuna jogg halafu nakupigisha work out nzuri utakuwa fitm/wepesi
Misosi siyo tatizo, ni diet tuu na mazoezi itamsaidia. Mimi nitamsaidia kwa hatua zooteTatizo hajakubali kubadili tabia yake ya kula kula hovyo....hata afanye mazoezi 24 hrs hawezi kupungua kama harekebishi hili la chakula
IQ yako lazima iko below 70. Ni hivi ukifanya mazoezi halafu ukawa UNA KULAKULA hovyo, rudia kula kula mazoezi ni kazi bure. Ukiambiwa acha kula kula haina maana acha KULA. Hakuna binadamu anaeweza kuishi bila kula achilia mbali kufanya mazoezi bila kula. Nimeandika haya kwasababu IQ yako haiwezi kutofautisha KULA KULA na KULA.Siku ingine sitaquote mzee ila uliandika pumba na wewe sio mwana mazoezi