Rafiki wa dada kanitegeshea mimba bila ridhaa yangu

Rafiki wa dada kanitegeshea mimba bila ridhaa yangu

umeyakoroga Yanywe tu huna jinsi kwanza wew ni onjaonja ushapata utamu furahia
 
Huna akili nzuri ww, nakuonea huruma ww na familia yako yooote~ ova
 
hukutumia kinga halafu unasema sio ridhaa yako, huoni hata aibu, habari za tarehe kila mtu anaweza kuhesabu Vibaya la muhimu ni wewe mwenye wachumba wawili kuwa makini
 
Mimi Bana naomba namba ya dadako nijadiliane naye namna ya kukusaidia
 
Unamiaka mingapi? manake its not normal kwa a real man kuongea unavyoongea wewe....ivi hukujua result ya kufanya Mapenzi bila kinga? usiogope mimba tuu ogapa na mengine....
 
Sasa ulipofanya hicho kitendo ulikua unawaza nn? Et kategesha bila ridhaa? Alikubaka?
 
Hivi unaanzaje kumpa mwanamke mimba bila ridhaa yake... Alafu ukiaambiwa unajifanya kushtuka, utadhani ulimfanyia mdomoni...
 
Wadau primary target ya mgegedo ni kuzaliana na kuongezeka na sio kiburudisho!!
 
Mtoto usiuue .
Mama kumuoa ni ridhaa yako lakin mtoto kuish ni haki yake.
 
kwa hiyo wakati unakula tunda la kati kati bila Ndomu ilikuwa unategemea nini?!
 
Hivi kweli wewe mleta mada upo sawasawa au kuna shida...! Unaenda kavukavu na mwanamke asiye wako harafu unataka tukushauri nini. Upo darasa la ngapi kwanza? Je, hiyo ni mimba tu na VVU (HIV) vipi.?
 
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani.

Sasa kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu.

Sasa kwa muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu.

Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yeye anamfahamu na sometimes wanaitanaga wifi.

Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?

Hivi hapo anaweza kunilaumu kuwa nimemchezea? Kwa kweli yeye akaitoe tu hakuna namna.
Hapana fikiria sana uamuzi wako wa kuitoa hiyo mimba,usiangalie nafsi yako tu,bila kuzingatia je huki mbeleni kutatokea nini
 
Back
Top Bottom