Rafiki wa dada kanitegeshea mimba bila ridhaa yangu

Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani

Sasa Kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu
Sasa kwa Muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu
Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yy anamfaham na sometimes wanaitanaga wifi

Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?

Hivi hapo anaweza kunilaum kuwa nimemchezea? Kwa kweli yy akaitoe tu hakuna namna

We ulitegemea unasia mbegu mwambani penye miba. Kama mimba hsikutarajiwa na ndoa nayo haitatarajiwa (timiza wajibu wako)
 
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani

Sasa Kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu
Sasa kwa Muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu
Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yy anamfaham na sometimes wanaitanaga wifi

Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?

Hivi hapo anaweza kunilaum kuwa nimemchezea? Kwa kweli yy akaitoe tu hakuna namna

Haaaha... Unajua unachekesha kwa hapo ulipouliza kuwa atabebaje mimba bila ridhaa yangu ...
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani

Sasa Kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu
Sasa kwa Muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu
Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yy anamfaham na sometimes wanaitanaga wifi

Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?

Hivi hapo anaweza kunilaum kuwa nimemchezea? Kwa kweli yy akaitoe tu hakuna namna

Huuuh ? What do you mean kabeba mimba bila ridhaa yako ? You are wrong very wrong.. Sijui kwa nini some men like you wanakuwaga hivi.. Kukosa msimamo wako na kutokuwa faithful with one woman that's what you get it , agghhhrr.. Mnauzii wanaume kama nyie... Hiyo tunaita ni mshara WA dhambi. Ulipokuwa ukimmzunguka Huyo mmchumba wako unayesema alikuwa anakuja kwako sometimes ulikuwa unategemea nini ? Acha kummtupia lawama Huyo Dada na kutaka atoe mimba because ya makosa yako.. Huyo Dada ana makosa kwa Ku agree kulala na wewe huku akijua una mwanammke tayari .. Na una makosa ya kutaka vingine while you knew una MTU tayari ,plus hukutumia protection what about kama huyo rafiki WA ndugu yako ana magonjwa ? Si ungemmpelekea Huyo so called mmchumba .. Aaghhhr tamaa , tamaa, tamaaaaa... This is not fair an innocent blood to pay the price that she/ he shouldn't pay .. The baby is innocent .. Acha ukatili kwa starehe zako na makosa uliyoyafanya... Please ukiwa still hummtaki huyo kiumbe nipeni Mimi kwa kusaini legal papers wewe na huyo mwenzio and I will take care of that baby ( I'm dead seriuos on this ) .... Kuliko kukiuuwa.. Watu wengine mmnaplay sana na Mungu .. Ukimuua huyo kiumbe I promise that blood will hunt you for the rest of your life... And I say let it be ukifanya hivyo in Jesus name Amen.. Thanks..
 
Mtu unaongelea kutoa mimba simple kama kwenda haja kubwa vile.
 
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani

Sasa Kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu
Sasa kwa Muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu
Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yy anamfaham na sometimes wanaitanaga wifi

Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?

Hivi hapo anaweza kunilaum kuwa nimemchezea? Kwa kweli yy akaitoe tu hakuna namna
"...Msafiri hachagui bus.. panda tu siumeshalijua jina"
 
Mtu unaongelea kutoa mimba simple kama kwenda haja kubwa vile.

Thank you.. I don't think so he knows what is he talking about and what he wants in his life .... Agghhrrrr .. Amenikwaza sana ... Kuna couples very humble couples friends of mine , they have been married over 10 years.. Hadi Leo hii Mungu hajawapa kids , just one baby .. And then here kuna MTU anataka kummtoa mwenzie ujauuzito an innocent blood.. ... Thanks..
 
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani

Sasa Kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu
Sasa kwa Muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu
Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yy anamfaham na sometimes wanaitanaga wifi

Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?

Hivi hapo anaweza kunilaum kuwa nimemchezea? Kwa kweli yy akaitoe tu hakuna namna
Angekwambia amekuambukiza ukimwi je utaenda kutoa?

Vuna ulichopanda na mimba hiyo ukitoa hiyo dhambi itakutafuna milele......
 
lakini mtoa mada we si ulimla uyo demu kwa ridhaa yako? mbona kabla ya kumla hukuja humu kutuomba ushauri?
 
Matusi umeyapokea vya kutosha
ila nakuonya
hiyo chovyachovya bila kondomu sasa utaukwaa UKIMWI
mkubali huyo Binti kwani na wewe una mdogo wako naye watambamiza na kukuachia Mjomba ulee
 
O
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani.

Sasa kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu.

Sasa kwa muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu.

Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yeye anamfahamu na sometimes wanaitanaga wifi.

Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?

Hivi hapo anaweza kunilaumu kuwa nimemchezea? Kwa kweli yeye akaitoe tu hakuna namna.
Kwani akiwa na mimba lazima umuoe? Oa umpendae lakini usikatae dam yako Lea mtoto maana hana kosa ila Huyo ***** mpotezee.
 
Hivi kweli unalalamika dume zima kusema mwanamke amejilengesha hiv anayefungulia kok na anayelowana yup anamakosa ww inabid ukae chini ufikirie nahc c mzma na huyo utamuoa nakuombea sana muwe wote
 
Naomba ieleweke kuwa nipo kwenye kizungumkuti, nina wachumba wawili ambao wote wanataka niwaoe na bado sijafikia uamuzi nimchukue nani.

Sasa kuna huyu rafiki wa mdogo wangu wanafanya kazi pamoja hotelini na wote wanaishi kwangu kama ndugu.

Sasa kwa muda fulani nilianza kutembea na huyo rafiki wa mdogo wangu humo ndani kwetu Bila mdogo wangu kujua mara huwa tunafanya kama mdogo wangu yupo zamu.

Hata hivyo wote wawili hatujawahi kuwa wapenzi zaidi ya kufanya kwa kujifurahisha, maana msichana wangu anakuja sana hapo home na yeye anamfahamu na sometimes wanaitanaga wifi.

Sasa jana nimeshtuka ananiomba maongezi kwamba ana jambo anataka kunieleza, nikamwambia nakusikiliza, eti anadai amepitiliza siku zake eti ana mimba yangu, hivi mtu unabebaje mimba bila ridhaa yangu? Na wewe unajua fika utaratibu wa siku zako?

Hivi hapo anaweza kunilaumu kuwa nimemchezea? Kwa kweli yeye akaitoe tu hakuna namna.
Kwa swali hili bila shaka uliingia pekupeku!
 
Afu unasugua tu bila condom na unawachumba wawili? Eroo
 
Back
Top Bottom