Radio one kulikoni,nusu saa imekuwa masaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio one kulikoni,nusu saa imekuwa masaa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kubingwa, Jan 27, 2012.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu nipo kibandani kwangu nafanya vishughuli vyangu huku nasikiliza karedio kangu.Kama mjuavyo wadau,sisi wazee wa enzi zile huwa tunapenda kusikiliza miziki ya enzi hizo.
  Basi ilipotimu saa nne na dakika 10 mtangazaji akaomba radhi hawatakuwepo hewani kwa muda wa nusu saa,lakini hadi sasa ni saa tano na dakika hamsini,kimya.
  Radio one mmeanza lini huu uongo,mnakwaza wadau wenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kweli kaka hata mimi nimesubiria hadi muda huu kimyaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Mengi si alikuwa amelazwa?
   
 4. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata mie wamenibore kweli leo napenda sana kusikiliza zilipendwa
   
 5. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nunueni DVD
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  poleni mi nasikilizaga taarifa ya khabari tu
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Labda alitamka muda kibongo.
   
Loading...