Shitukeni, Serikali ianze ukaguzi wa haraka kwenye nyumba za Ibada na waganga wajadi

uzio usio onekana

JF-Expert Member
Apr 21, 2019
776
2,404
Ukifikiria kwa haraka unaweza ukadhani hizi imani mbili ni kama zinawasaidia watu lakini ukiingia kiundani zaidi hizi imani zinamaliza watu wengi sana na kuingiza jamii kwenye matatizo makubwa sana na kuleta uchonganishi wa hali ya juu.

Na hii imetokana kwamba serikali imewaacha. Kwa muda mrefu sana wakiendesha shughuli za kienyeji mno.
Na wakati huo saizi Dunia inaendeshwa kisayansi.

Kwa mfano sio muda mrefu nilienda kumsalimia ndugu yangu kijijini alikuwa anaumwa nilipofika kwake nikakuta wamempeleka kwa mganga wa kienyeji.

Nilipofika kwa huyo mganga nikamkuta huyo Shangazi yangu amevimba mwili mzima na maji yamejaa tumboni nikajaribu kuuliza tatizo nini wakasema eti mganga anasema huyu Shangazi yenu ametupiwa jini na hilo jini litamaliza ukoo wenu mzima, na mkitaka hilo jini litoke inabidi mtafute laki tano ilikulitoa hilo jini.

Lakini mimi nilipoangalia ile hali nikashauri tumpeleke hospitali kwanza lakini nilibishiwa sana na kusema mimi ni mtoto mdogo sijui chochote, nikaondoka nikasema acha muda useme. Lakini baada ya miezi mitatu nikapigiwa simu kwamba ya mgonjwa wenu hali bado ni mbaya sana ikabidi niende tu kutumia nguvu na kumpeleka mgonjwa hospitalini na kufika hospitalini ndani wiki mbili walimtoa maji yote mwilini na saizi amepona kabisa na anaendelea na maisha yake kama kawaida. Lakini nikajiuliza kwa mifumo kama hiyo hao waganga wapo wengi sana je watakuwa wameua watu wangapi. Kwa sababu yule mganga nilikuta wagonjwa wengi sana ambao wametoka mikoa mbali mbali.

Na hivyo hivyo wazee wa dini nao utakuta mtu labda ana kisukari, wanaanza kusema hooo tunamuombea mtu anapona mara sijui tunasoma vitabu. Utasikia wamemtupia jini la kisukari. Watu wengi sana wamekufa kizembe kwenye hizo imani. Lakini kibaya zaidi hao jamaa wamekuwa na vituo vyao vya TV na radio kwa ajili kueneza propaganda wakiwaonyesha vipofu wakipona viwete wakitembea.

Na ni nikawaida kukuta mabango yameindikwa mganga kutoka Sumbawanga anatibu Kisukari, UKIMWI, pumu. Serikali haiwezi ukasikia imefanya chochote hadi ukute yametokea mauaji ya halaiki kama ya mchungaji wa wakenya.
 
38b342c5-ffd1-4f7a-a74f-8e3a0be0565d.jpg
 
Ukifikiria kwa halaka halaka unaweza ukadhani hizi imani mbili ni kama zinawasaidia watu lakini ukiingia kiundani zaidi hizi imani zinamaliza watu wengi sana na kuingiza jamii kwenye matatizo makubwa sana na kuleta uchonganishi wa hali ya juu.
Na hii imetokana kwamba serikali imewaacha. Kwa muda mrefu sana wakiendesha shughuli za kienyeji mno.
Na wakati huo saizi Dunia inaendeshwa kisayansi.

Kwa mfano sio muda mrefu nilienda kumsalimia ndugu yangu kijijini alikuwa anaumwa nilipofika kwake nikakuta wamempeleka kwa mganga wa kienyeji.
Nilipo fika kwa huyo mganga nikamkuta huyo Shangazi yangu amevimba mwili mzima na maji yamejaa tumboni nikajaribu kuuliza tatizo nini wakasema eti mganga anasema huyu Shangazi yenu ametupiwa jini na hilo jini litamaliza ukoo wenu mzima. na mkitaka hilo jini litoke inabidi mtafute sh. Laki tano ilikulitoa hilo jini. Lakini mm nilipo angalia ile hali nikashauri tumpeleke hospitali kwanza lakini nilibishiwa sana na kusema mm ni mtoto mdogo sijui chochote mm nikaondoka nikasema acha muda useme. lakini baada ya miezi mitatu nikapigiwa simu kwamba ya mgonjwa wenu hali bado ni mbaya sana ikabidi niende tu kutumia nguvu na kumpeleka mgonjwa hospitalini na kufika hospitalini ndani wiki mbili walimtoa maji yote mwilini na saizi amepona kabisa na anaendelea na maisha yake kama kawaida. Lakini nikajiuliza kwa mifumo kama hiyo hao waganga wapo wengi sana je watakuwa wameua watu wangapi.
Kwa sababu yule mganga nilikuta wagonjwa wengi sana ambao wametoka mikoa mbali mbali.

Na hivyo hivyo wazee wa dini nao utakuta mtu labda anakisukali wanaanza kusema hooo tunamuombea mtu anapona mara sijui tunasoma vitabu. Utasikia wamemtupia jini la kisukari. Nk. Watu wengi sana wamekufa kizembe kwenye hizo imani. Lakini kibaya zaidi hao jamaa wamekuwa na vituo vyao vya tv na radio kwaajili kueneza propaganda wakiwaonyesha vipofu wakipona viwete wakitembea nk. Na ni nikawaida kukuta mabango yameindikwa mganga kutoka sumbawanga anatibu kisukari ukimwi pumu nk. Na serikali haiwezi ukasikia imefanya chochote hadi ukute yametokea mauaji ya halaiki kama ya mchungaji wa wakenya.
Serikali inapaswa kuwa neutral.

Hakika serikali ikiingilia jambo hili itakuwa inakosa.

Labda kama liwe ni adhimio la kidunia, yaani nchi zote zikubaliane kufuta mambo haya.

Bila hivyo, serikali ikifanya hivyo, nchi nyingine zitaingilia jambo hili kwani ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa zinazohusu haki za watu kuamini wakitakacho.

Lakini ningependelea zifutwe.
 
Ukifikiria kwa haraka unaweza ukadhani hizi imani mbili ni kama zinawasaidia watu lakini ukiingia kiundani zaidi hizi imani zinamaliza watu wengi sana na kuingiza jamii kwenye matatizo makubwa sana na kuleta uchonganishi wa hali ya juu.

Na hii imetokana kwamba serikali imewaacha. Kwa muda mrefu sana wakiendesha shughuli za kienyeji mno.
Na wakati huo saizi Dunia inaendeshwa kisayansi.

Kwa mfano sio muda mrefu nilienda kumsalimia ndugu yangu kijijini alikuwa anaumwa nilipofika kwake nikakuta wamempeleka kwa mganga wa kienyeji.

Nilipofika kwa huyo mganga nikamkuta huyo Shangazi yangu amevimba mwili mzima na maji yamejaa tumboni nikajaribu kuuliza tatizo nini wakasema eti mganga anasema huyu Shangazi yenu ametupiwa jini na hilo jini litamaliza ukoo wenu mzima, na mkitaka hilo jini litoke inabidi mtafute laki tano ilikulitoa hilo jini.

Lakini mimi nilipoangalia ile hali nikashauri tumpeleke hospitali kwanza lakini nilibishiwa sana na kusema mimi ni mtoto mdogo sijui chochote, nikaondoka nikasema acha muda useme. Lakini baada ya miezi mitatu nikapigiwa simu kwamba ya mgonjwa wenu hali bado ni mbaya sana ikabidi niende tu kutumia nguvu na kumpeleka mgonjwa hospitalini na kufika hospitalini ndani wiki mbili walimtoa maji yote mwilini na saizi amepona kabisa na anaendelea na maisha yake kama kawaida. Lakini nikajiuliza kwa mifumo kama hiyo hao waganga wapo wengi sana je watakuwa wameua watu wangapi. Kwa sababu yule mganga nilikuta wagonjwa wengi sana ambao wametoka mikoa mbali mbali.

Na hivyo hivyo wazee wa dini nao utakuta mtu labda ana kisukari, wanaanza kusema hooo tunamuombea mtu anapona mara sijui tunasoma vitabu. Utasikia wamemtupia jini la kisukari. Watu wengi sana wamekufa kizembe kwenye hizo imani. Lakini kibaya zaidi hao jamaa wamekuwa na vituo vyao vya TV na radio kwa ajili kueneza propaganda wakiwaonyesha vipofu wakipona viwete wakitembea.

Na ni nikawaida kukuta mabango yameindikwa mganga kutoka Sumbawanga anatibu Kisukari, UKIMWI, pumu. Serikali haiwezi ukasikia imefanya chochote hadi ukute yametokea mauaji ya halaiki kama ya mchungaji wa wakenya.
jitaihidi uwe rais wa nchi ili upige marufuku haya mambo ila kwasasa ni mserereko tu
 
Back
Top Bottom