leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,405
- 1,815
We nae utavunja ndo za watu
Hii ni zaidi ya hatari wallahi.Kwa masikitiko kabisa naomba kupeleka malalamiko yangu kwa Radio Clouds haswa kipindi cha Amplifier na moja kwa moja kwa mtangazaji Amina. Nimesikia akisema namna ya kupata mawasiliano ya mpenzi wako kwa kusoma watsap msg bila yeye kujua na pia kama unafanya cheating ukiwa hupendi mtu/mpenzi wako asijue kuna program unatikisa tu simu msg zinafutika.
Mambo hayo kwa maoni yangu hayakupaswa kuzungumzwa redioni maana yatachochea wapenzi/wanandoa kuchunguzana na mwisho ndoa nyingi zinaweza kuwa hatarini.
Bahati mbaya sana mida ambapo kipindi kinarushwa ni wakati familia nyingi zinarudi toka maofisini.
Tafadharini, acheni kutoa elimu hii kwa njia ya redio. Madhara yake ni makubwa kuliko faida.
Aksante...
Si msikilizaji wa radio. Ilitokea tu mara moja nikasema ngoja leo niweke radio ndo nikasikia hayo.ukiona unasikiliza radio clouds ujue akili zako zinafanana na za hao watangazaji na wamiliki. sikumbuki nilisikiliza lini hao watu. kwanza radio tu hata home huwa haifunguliwi. nina miaka mingi sijawahi washa radio nyumbani kwangu, mimi, watoto wala wife...ulimwengu huo tulishapita.
Mimi nakushauri, siku ndoa yako ilivunjika kwa mtindo huo, basi wapeleke mahakama amplifier wakukatie kifuta machozi.
Mkuu tusimuharibie wasije kumtoa ila arekebishe tu hizi kasoro kadha wa kadha..Uyo mdada kiukwel afit kabsa kwenye icho kipind in short amekialibu sana!
Kivipi??We nae utavunja ndo za watu
Sijaona kosa lao....Kwa masikitiko kabisa naomba kupeleka malalamiko yangu kwa Radio Clouds haswa kipindi cha Amplifier na moja kwa moja kwa mtangazaji Amina. Nimesikia akisema namna ya kupata mawasiliano ya mpenzi wako kwa kusoma watsap msg bila yeye kujua na pia kama unafanya cheating ukiwa hupendi mtu/mpenzi wako asijue kuna program unatikisa tu simu msg zinafutika.