Wahuni kweli, hayo mambo wanayozungumza ni ya kipuuzipuuzi tu. Naona kazi yao mojawapo ni kupotosha jamii.crouds fm haina maadili, ni redio ya wahuni tu, maana wana maneno ya kihuni matupu!
ningekuwa na uwezo ningei unstall kwenye redio yangu!
Moja ya kazi ya media ni kushape jamii na si kupotosha jamii.Wanaohatarisha ndoa zao ni wachepukaji. Hayo mengine mnawasingizia tu clouds FM
we unataka wasipige Matangazo watapata wapi pesa...Tushawazoea watanzania kwa kuponda kilicho chema...wewe hauna faida kwao hata usiposikiliza bado wataingiza pesaKuna mambo mawili yaliyonifanya nisiwe nasikiliza clouds. Hapana mambo matatu.
1. Kipindi cha nyuma, nilikuwa msikilizaji mzuri sana wa njia panda. Nakumbuka hiyo jumapili mtangazaji alikuwa ana mhoji au anasoma barua ya mdada (sikumbuki vizuri). Huyo mdada alikuwa anasema ameambukizwa HIV na jamaa ambaye ni mfanyakazi wa ubalozi (sikumbuki ni nchi gani).
Alivyoelezea ni kwamba walikuwa na mahusiano na huyo jamaa, lakini akamwambukiza huyo mdada HIV makusudi. Kuna mdada mwingine alipiga simu studio wakati kipindi kinaendelea kutokana na maelezo yaliyotolewa, akasema anamfahamu huyo jamaa aliyemwambukiza mdada na akamtaja jina na na ubalozi anaofanya kazi.
Wakati haya yote yanaendelea, moyoni nikasema kama jamaa wa ubalozi ana mke, basi itakuwa imekula kwake. Lakini wakati kipindi kinaendelea huyo jamaa anayesemekana ameambukiza HIV, akapiga simu na kukanusha hiyo taarifa. Akasema alishaenda kupima na ikaonekana hana HIV.
Hiyo issue japo siikumbuki vizuri, sijui iliishia wapi. Lakini nilisikitika sana kwa chombo cha habari kupokea tuhuma kumhusu mtu, halafu hawahoji upande wa pili kupata ukweli.
Vipindi vya live, vina masharti yake na inatakiwa kama mtangazaji uwe maakini sana.
2. Kuna kipindi kilikuwa kinarushwa na mtangazaji wa kike usiku. Yule mdada akawa anatoa chance ya msikilizaji kupiga simu, na kumkumbuka mpenzi wake wa zamani na kuulizia yuko wapi na jinsi gani anamiss.
Hii ndiyo niliona utoto kabisa. Nikajiuliza, mume au mke akisikia mwenzake anakumbukwa na lijamaa atajisikiaje? ''kwamba nimeyamiss mahaba yetu ya zamani''. Nikasema huu ni utoto.
3. Matangazo muda wote na hasa vipindi vya asubuhi.
Unadhani wewe usipowasikiliza Wanapungukiwa nini Matangazo yanawalipa au ushawahi peleka Tangazo cloudsClouds jirekebishen vinginevyo mtajisikiliza wenyewe
kwahiyo unataka na sisi tuwe mazuzu kama wewe???ukiona unasikiliza radio clouds ujue akili zako zinafanana na za hao watangazaji na wamiliki. sikumbuki nilisikiliza lini hao watu. kwanza radio tu hata home huwa haifunguliwi. nina miaka mingi sijawahi washa radio nyumbani kwangu, mimi, watoto wala wife...ulimwengu huo tulishapita.
Kwa masikitiko kabisa naomba kupeleka malalamiko yangu kwa Radio Clouds haswa kipindi cha Amplifier na moja kwa moja kwa mtangazaji Amina. Nimesikia akisema namna ya kupata mawasiliano ya mpenzi wako kwa kusoma watsap msg bila yeye kujua na pia kama unafanya cheating ukiwa hupendi mtu/mpenzi wako asijue kuna program unatikisa tu simu msg zinafutika.
Mambo hayo kwa maoni yangu hayakupaswa kuzungumzwa redioni maana yatachochea wapenzi/wanandoa kuchunguzana na mwisho ndoa nyingi zinaweza kuwa hatarini.
Bahati mbaya sana mida ambapo kipindi kinarushwa ni wakati familia nyingi zinarudi toka maofisini.
Tafadharini, acheni kutoa elimu hii kwa njia ya redio. Madhara yake ni makubwa kuliko faida.
Aksante...
Clouds ni Bora sema cha kuongea hauna zuzu ni wewe Baba zima et unadiliki kusema eti hapa sijui nini.....kwanza huyu alichokipost kipo Siku nyingi katka Jukwaa La Teknolojia syo kigeni kwa watu....wewe usiposikiliza hawafanyi wasiendelee kuwepo wanaingiza pesa kama kawaidakwahiyo unataka na sisi tuwe mazuzu kama wewe???