Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
Kwa masikitiko kabisa naomba kupeleka malalamiko yangu kwa Radio Clouds haswa kipindi cha Amplifier na moja kwa moja kwa mtangazaji Amina. Nimesikia akisema namna ya kupata mawasiliano ya mpenzi wako kwa kusoma watsap msg bila yeye kujua na pia kama unafanya cheating ukiwa hupendi mtu/mpenzi wako asijue kuna program unatikisa tu simu msg zinafutika.
Mambo hayo kwa maoni yangu hayakupaswa kuzungumzwa redioni maana yatachochea wapenzi/wanandoa kuchunguzana na mwisho ndoa nyingi zinaweza kuwa hatarini.
Bahati mbaya sana mida ambapo kipindi kinarushwa ni wakati familia nyingi zinarudi toka maofisini.
Tafadharini, acheni kutoa elimu hii kwa njia ya redio. Madhara yake ni makubwa kuliko faida.
Aksante...