syllae
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,792
- 1,926
Ndo utakua tayar na atakufany ujue alichokufanyia ili utoe maamuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo utakua tayar na atakufany ujue alichokufanyia ili utoe maamuzi
Acha2 mkuu wanaume tamaa mmh! Nilitamani nimwache uko uko atajua jinsi ya kurudi lkn ubinadamu ukaniingia ila namba niliifuta pale pale na kumblock kila sekta
Pole sana mkuuAcha2 mkuu wanaume tamaa mmh! Nilitamani nimwache uko uko atajua jinsi ya kurudi lkn ubinadamu ukaniingia ila namba niliifuta pale pale na kumblock kila sekta
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaendeleza mkuuNdo utakua tayar na atakufany ujue alichokufanyia ili utoe maamuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe tafuta mnyonge umnyongee, haipunguzi maumivu, ila inarudisha hadhi ya kiume.Namna hii unaweza kususa kuoa