R.KELLY IS A MUSIC god

This is beyond extra ordinary!
Huyu jamaa ameniogopesha aisee.
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Kwenye RnB huyu siyo King ni god; hana mpinzani aisee.
Huyu jamaa sijui kaumbwaje, wengine wangekuwa washazimia.
Mungu kawapa watu weusi vipaji vikubwa sana has a kwenye kuimba, hili hata shetani analijua.

kwenye music industry ya Marekani weusi wanamchango mkubwa sana. wameanzisha Rock, blues, hip hop, RnB, jazz na soul . pia kwenye country wamechangia Banjo.
 
kwenye music industry ya Marekani weusi wanamchango mkubwa sana. wameanzisha Rock, blues, hip hop, RnB, jazz na soul . pia kwenye country wamechangia Banjo.

Huo ndiyo ukweli kaka yangu.
Bila hivyo dunia bado ingekua inasikiliza WALTZ tu.
Kuna watu kama B.B King, Otis Redding, Nina Simone, Louis Armstrong, hawa walikuwa ni legends wa mapinduzi ya music.
 
This is beyond extra ordinary!
Huyu jamaa ameniogopesha aisee.
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Kwenye RnB huyu siyo King ni god; hana mpinzani aisee.
Huyu jamaa sijui kaumbwaje, wengine wangekuwa washazimia.
Mungu kawapa watu weusi vipaji vikubwa sana has a kwenye kuimba, hili hata shetani analijua.

Aisee...hakuna maneno utaweza kuyasema mtu akaamini uwezo wa huyu brother,nahisi na naamini hapo alivunja record ya mtu akaweka yake.watu weusi weupe wanajaribu sana kutushusha but Mungu muumba ametujaalia baadhi yetu uwezo wakufanya kitu hata hao weupe wanatuheshimu.
 
Na mimi nimeshangaa kama hiyo aaaaah.. aaaahhhhh.... aaaaah siyo ya kuungaunga kwani mtiririko wa sauti na picha ni kama vinajirudiarudia. Na kama siyo vya kuungaunga kumaanisha kwamba R. Kelly katumia pumzi tu kwa dakika zote hizo, basi nasikitika kusema jamaa (R. Kelly) anatakiwa kupimwa kuthibitisha kama siyo kichaa au kama hatumii sigara kubwa!! Its really ineffable!
Nikusaidie kuhusu kuunga unga picha Mimi ni cinematographer nafahamu vizuri picha zilizoungwa (cutaways) na zile halisi sasa hizo ni halisi Fanya hivi google hayo mashindano ndo utampata vizuri huyo r Kelly
 
This is beyond extra ordinary!
Huyu jamaa ameniogopesha aisee.
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Kwenye RnB huyu siyo King ni god; hana mpinzani aisee.
Huyu jamaa sijui kaumbwaje, wengine wangekuwa washazimia.
Mungu kawapa watu weusi vipaji vikubwa sana has a kwenye kuimba, hili hata shetani analijua.

Ndo ujinga gani huu anaouimbaaa
 
huyo jamaa ni kiboko tusiojua music lazima tuseme imeungwa hiyo si bado tupo kwenye singeli... Traped in the closet nimuelewa sana huyu jamaa...
 
Back
Top Bottom